Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,333
- 17,870
- Thread starter
- #141
my hubby miye sijaenda kwa Kaizer kwa makusudi nilienda kule kwa ajili ya maombi only baada ya
kuona sikuelewi elewi halafu sikujua kama hasimu wako mkuu samahani mpenzi sirudii tena.
Njooon parokiani enyi nyote msubuliwao na kuelemewa na wapenzi wenu nanyi mtapumzika!
Last edited by a moderator: