Wito kwa Miss Neddy

Wito kwa Miss Neddy

paroko, ulionywa kuhusu ubaguzi! waumini wote ni sawa, kwaniini unawabagua?

mbona Mentor kaoa? yeye katoa kitu kidogo au ndo anakuunganisha eenh?
Nicas Mtei na Asprin mbona mbona wana wake zao?

wao wameozwaje?

cc.. Ntuzu, his excellency!

Siwezi kufungisha ndoa bazazi

Kama hao walifunga tafuta walikofungia lakini sio kwangu!!
 
point point...!! hawa maparoko inabidi walindwe haswaa wakati wanafungisha hii ndoa! Eiyer n Kaizer? mmh.. hizi ni plate number nyingine kabisaaaa!!!!

Nimesema hiyo ndoa haifungwi na nitahakikisha taarifa inafika kwa Mhasham Askofu hadi kwa Papa ili kuizuia Duniani kote

Siwezi kulala usiki na usingizi ukaja huku nikijua kuwa dada yetu tumemkabidhi bazazi ....lol!!!!!!!!!!!
 
We mtoroshe tu!

haaaa!!! mkuu kweli ntakuwa nimemtendea haki malikia wangu.. malikia ananata sana jamani, anapendeza huyu mtoto, akiniangalia nahisi nampigia magoti aseme ndiyo nakupenda, jamani nimtoroshe miss neddy?

huyu binti ni kifaa haswaa!!! anafaa kusafiri kwa hummerH3 nyeusi kabisa!
 
Last edited by a moderator:

hahahaaaa!!! hivi parokia ziko ngapi vile?

ndoa sasa inafungwa kienyeji halafu inakuja kubarikiwa na Kaizer!

wakati huo wewe tunafanya mpango wa kukuhamisha parokia uende igombe!!!
 
Tutaona ......................!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wangu ni moyo ni uran,ila daud1 ni mdogo wake uran. Kwani we uliwazaje sasa

unasema? uran na Daudi1 wana correlation yoyote? uran na urefu woote, super black, misuli kama anorld shoziniga, anaongea kama jerry springs mmh!

sasa daudi1 mwenyewe baba!! wacha nyamaze! mambo ya kurushiwa virus usoni mi siwezi! hahahaaaaa!! mbavu zangu mie!
 
Last edited by a moderator:
haaaa!!! mkuu kweli ntakuwa nimemtendea haki malikia wangu.. malikia ananata sana jamani, anapendeza huyu mtoto, akiniangalia nahisi nampigia magoti aseme ndiyo nakupenda, jamani nimtoroshe miss neddy?

huyu binti ni kifaa haswaa!!! anafaa kusafiri kwa hummerH3 nyeusi kabisa!

Km Hawa maparoko hawataki Si bora ukamtorosha tu!
 
Last edited by a moderator:
baba paroko Eiyer kuna sharti nimempa kijana wangu Excel kabla hajasaini agano, naona limemshinda
 
Last edited by a moderator:
baba paroko Eiyer kuna sharti nimempa kijana wangu Excel kabla hajasaini agano, naona limemshinda
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom