Wito kwa Miss Neddy

Wito kwa Miss Neddy

unasema? uran na Daudi1 wana correlation yoyote? uran na urefu woote, super black, misuli kama anorld shoziniga, anaongea kama jerry springs mmh!

sasa daudi1 mwenyewe baba!! wacha nyamaze! mambo ya kurushiwa virus usoni mi siwezi! hahahaaaaa!! mbavu zangu mie!
Huyo anakuongopea kabisa mimi na uran hatuna undugu wowote ila nilitaka kumpindua sema mapinduzi yakagoma
 
Patamu usiniambie best yangu Daudi1 unapata jiko baada ya upweke na mahangaiko ya muda mrefu?
Usisahau tu kunitambulisha wifi tumlee kama yai.
Kaka yangu Excel ubazazi unamzidi.
 
Patamu usiniambie best yangu Daudi1 unapata jiko baada ya upweke na mahangaiko ya muda mrefu?
Usisahau tu kunitambulisha wifi tumlee kama yai.
Kaka yangu Excel ubazazi unamzidi.
Dah! nilikuwa nimekaa chini ya mwembe huku nikiwa na njaa naona embe limeanguka lenyewe acha nile
 
Dah! nilikuwa nimekaa chini ya mwembe huku nikiwa na njaa naona embe limeanguka lenyewe acha nile

Valentina shostito njoo huku luv, huku unakanwa leo. Yaani Daudi1 hafai kwa mafuta wala nazi. Ngoja siku umeme umkatikie si jenereta tu atakosa hata mshumaa hatouona. Yangu macho
 
haaaa!!! mkuu kweli ntakuwa nimemtendea haki malikia wangu.. malikia ananata sana jamani, anapendeza huyu mtoto, akiniangalia nahisi nampigia magoti aseme ndiyo nakupenda, jamani nimtoroshe miss neddy?

huyu binti ni kifaa haswaa!!! anafaa kusafiri kwa hummerH3 nyeusi kabisa!

hahahahahahahahaha hapa ndo unaponikoshaga maana wajua kucheza na vitenzi wacha kabisaaaa
 
Last edited by a moderator:
Valentina shostito njoo huku luv, huku unakanwa leo. Yaani Daudi1 hafai kwa mafuta wala nazi. Ngoja siku umeme umkatikie si jenereta tu atakosa hata mshumaa hatouona. Yangu macho
Kwani uran hamtoshi? mtaka mawili kwa pupa hukosa yote ngoja nitulie na mtoto nimpunguzie machungu
 
Back
Top Bottom