Wito kwa Miss Neddy

Wito kwa Miss Neddy

nijieleze? nijieleze nn kwa Angelicious? that msonyo was a complete habari maelezo to me!

aisee mimi nikisonywa huwa nasikia kama nimeshikwa tak.o! kama ni ndoa naiacha na kuivunjilia mbali mara 1!

hahahahahahahahahaha Excel huyo hajui kutunza mume achana nae mume akikosea hasonywi bali wampa kiss maridadi na kumsomea mashtaka yake
 
Last edited by a moderator:
ahaaaaa Excel punguza midadi bwana yaani ushaanza kutangaza vya rooom tena
Mwanyasi ni bosi wangu

mi sio zoba ujue... ntamkaanga sasa hivi huyu Mwanyasi!

kama ni kazi... achana nayo!

ipo nyingine ya kuhesabu mabilioni yangu kwa kutumia mashine.. EFD free!
 
Last edited by a moderator:
Kaka naona kuna mtu anaitwa Excel anatishia amani
amu mi wala sikutishi... ila ukizingua tu!

muone miss neddy kama rafiki wako wa karibu eenh! but never... everr... tell her umbea mbea that can lead to family disintegration.. wallahi utafua combat mwaka mzima free!
 
Last edited by a moderator:
ngoja nikuache makubwa hayo utakayoyatafuta

mtu mzito hatafuti makuba wewe! these are just small externalities...! actually, huyu mtoto ni mdogo sana compared to punje ya haradali... ntampanda msimu wa kiangazi.. ngoja!
 
mi sio zoba ujue... ntamkaanga sasa hivi huyu Mwanyasi!

kama ni kazi... achana nayo!

ipo nyingine ya kuhesabu mabilioni yangu kwa kutumia mashine.. EFD free!

hahahahahaha Ntuzu akipita atatishika siku ukikosa wa kumkaaanga si utanikaaanga mimi Excel
 
Last edited by a moderator:
hahahahahaha Ntuzu akipita atatishika siku ukikosa wa kumkaaanga si utanikaaanga mimi Excel

come-on-me sweetie! you are my everything you know! kwanza nilikutumia card ya pongezi kwa performance ya jana!

hivi uliiona honey? aisee nimejichokea hapa nilipo kama nini vile! aisee ninyi wanyantuzu si wa kuchukulia pole pole duh!!
 
nijieleze? nijieleze nn kwa Angelicious? that msonyo was a complete habari maelezo to me!

aisee mimi nikisonywa huwa nasikia kama nimeshikwa tak.o! kama ni ndoa naiacha na kuivunjilia mbali mara 1!

yani msonyo tu unavunja ndoa hee!! mabig sasa wewe ulifikiri ndoa fashion show jaribu dogo kama hilo
unaacha mke? je ukifumania si utaji-ufoosaro??? lakini me nakupendaga tu we umeniacha miye sijathibitisha kama
umeniacha
 
oky fanya hivyo usemavyo
mtu mzito hatafuti makuba wewe! these are just small externalities...! actually, huyu mtoto ni mdogo sana compared to punje ya haradali... ntampanda msimu wa kiangazi.. ngoja!
 
come-on-me sweetie! you are my everything you know! kwanza nilikutumia card ya pongezi kwa performance ya jana!

hivi uliiona honey? aisee nimejichokea hapa nilipo kama nini vile! aisee ninyi wanyantuzu si wa kuchukulia pole pole duh!!

hahahahahahahahah but ile assignment hukumaliza kule jokes
nakwambia usimwage mtama Excel
 
Last edited by a moderator:
kunani hapa....? Excel niambie....!

kuna viumbe hapa vinaulizia jinsi gani ak-47 na missile bombs vinavyofanya kazi!

kibaya zaidi, vinamuuliza mke wangu miss neddy kimbea mbeaaaa!!!

sasa parokia hii ya wanafiki nataka niinyweshe dawa!

short cut...
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahah but ile assignment hukumaliza kule jokes
nakwambia usimwage mtama Excel

aaaah wapi!! wewe ndiwe mtu wangu tulieonana leo kama tulivyo!

atakaeona ajabu, ageuke nyuma.. achape lapa!

love you sweetie sweetie!!! leo narudia bana, nahisi nimekosa yale maswali yote! hahaa!
 
yani msonyo tu unavunja ndoa hee!! mabig sasa wewe ulifikiri ndoa fashion show jaribu dogo kama hilo
unaacha mke? je ukifumania si utaji-ufoosaro??? lakini me nakupendaga tu we umeniacha miye sijathibitisha kama
umeniacha

hebu niambie... kilichokukimbiza kwa hasimu wangu parokiani ni nini?

aisee bado unanijibu ukiwa vidole juu?????????????

angelicious.... you are not you you know! you are poisoned!
 
Back
Top Bottom