Mwanyasi
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,955
- 7,112
hahahahahahahahaha karuceeee angalia yasiingie vumbi
Natamani kucheka pia
hahahahahahahahaha karuceeee angalia yasiingie vumbi
Patamu usiniambie best yangu Daudi1 unapata jiko baada ya upweke na mahangaiko ya muda mrefu?
Usisahau tu kunitambulisha wifi tumlee kama yai.
Kaka yangu Excel ubazazi unamzidi.
mamii.. !!!! habibiiii!!!! mupenzi yangeee!!
niambie wangu wa ukweli!!!
xoxoxoxoxooo!!!! love you miss!
Whaaaaaat?????
hahahahahahahahaha hapa ndo unaponikoshaga maana wajua kucheza na vitenzi wacha kabisaaaa
sina usemi king nakula maneno yako ya kimahabat kama masongi ya kihind vile
Wewe njoo tuongee vizuri upate pumziko la moyo wala hamtakuwa wawili utakuwa peke yako,huyo valentina siyo wangu
jamani nimemiss sana lile chum chum lako la dakika nzima non stop!
unalikumbuka lakini vizuri?
hebu limwage hapa hapa wajinyongeeeee!!!
bebii jamani naomba basi na leo tucheze!!! lile zoezi la jana limenilainisha sana mgongo!!
yani najisikia mwepesiiiiiii!!!!
kama napaa vile kumbe wewe ndio unanipika wajameni!
Bora umemuuliza ndugu yangu yaani aekuwa kama popo maana si ndege wala mnyama
Valentina shostito njoo huku luv, huku unakanwa leo. Yaani Daudi1 hafai kwa mafuta wala nazi. Ngoja siku umeme umkatikie si jenereta tu atakosa hata mshumaa hatouona. Yangu macho
sasa unakoelekea siko Excel kumbuka katiba ya sukumaland ibara ya 12 inasema hata ukoshwe vp usiutangazie ulimwengu
Wewew si una mume?Afu wewe,ndo nini kunchunia hivo?