Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

Hakuna bunge wala mahakamani, mnategemea nini Raisi aliyeingia kwa kura za wizi
 
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...

Hufai

Umeshindwa
Huna weledi

Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...

Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Halafu Jaji Mkuu awe Tundu Lissu au Rugemeleza Nshalla.? Watu wazima mnavuta bange ndiyo mnakuja kuandika utumbo humu JF.

Aachie ngazi kwa kosa gani? Kwa kitu gani ambacho hatekelezi kwa mujibu wa Katiba ya JMT??

Nyinyi CHADEMA mlishinda kesi kama hiyo ya mara ya mwisho kuhusu kusimamishwa kushughulika kazi za siasa mkashangilia na kusema Mahakama iko huru.

Sasa manaandika utumbo wote huu kwa ajili ya kesi ya Tundu ambayo mnataka ifutwe au imalizike haraka. Kwa taarifa yenu backlog ya kesi Mahakama ya Rufaa ipo hadi ya mashauri ya mwaka 2020. Huyu Tundu wenu asubiri tu. Na Jaji Mkuu alikuwa Prof Ibrahim Juma

Huko Mahakama Kuu kuna kesi za Mashehe wa Kiislamu wanashitakiwa kwa ugaidi zipo toka 2016. Na Jaji Mkuu alikuwa Mohamed Chande
 
..
Kama mtu anayeweka watawala wa nchi madarakani amesema hivi mimi ni nani wa kupinga?
 
Attachments

  • VID-20241027-WA0006.mp4
    3 MB
Kuhusu kesi ya Lissu, unataka CJ afanye contempt of the court kuiingilia mahakama Kuu, au yeye ndie afanye kazi ya DPP to pronounce nolle?.

a TL, sio kumtendea haki!
P
Mkuu kama unaasikiliza Umma hoja si kuingilia kesi au kuachiwa huru.

Hoja ni kwamba ' the process is tampered'' kuna unnecessary delays Mahakama inasaidia hilo kutokea

Kuna ku 'conspire' kati ya Mahakama na DPP , CJ analijua hilo!

CJ haelezwi aingilie kesi au ahukumu, anatuhumiwa kuruhusu 'tampering' iendelea akijua ni kosa

Kesi haina uchunguzi kinachofanyika ni '' technicalities'' za kucehelewesha.

Ima Tundu Lissu ahukumiwe kifungo au kuachiwa ni sehemu ya HAKI. Justice delayed is justice denied.

The buck stops with CJ, ndio msingi wa kusema ajiuzulu kwasababu kama kashindwa ajaribu mwingine mwenye guts
 
Hakuna asichokijua huyo, anakupotezea muda
 
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...

Hufai

Umeshindwa
Huna weledi

Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...

Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Jaji Masatu wala usimsikie huyu mpuuzi. Tangu tupate uhuru mwaka 1961 hakuna Jaji Mkuu yeyote ambaye amewahi kujiuzulu.

Labda Mzee Mwanakijiji ajiuzulu mwenyewe
 
Huoni aibu kutetea upumbavu
Mpumbavu ni wewe ambaye unaunga mkono hoja ambayo haina mashiko. Nani kakuambia kujiuzulu kwa Jaji Mkuu ndiyo kutatua matatizo tuliyo nayo?

Nyinyi mligoma kushiriki uchaguzi Oktoba 2025, na bado Samia na CCM wamevuka na wanatawala hadi 2030, je mumepata nini? Pumbavu zenu
 
Back
Top Bottom