Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

Uchaguzi ulikuwapo na tulipiga kura kasoro nyie wapumbavu ambao ni misulkule ya Tundu ambaye alisema No election No reforms.

Hila zenu zilifeli, jipangeni kwa 2030
Nchi ikikombolewa watu kama nyie ni wa kuwekwa kwenye firing squad, mnavishwa vitambaa vyeusi usoni halafu tunawafunga kwenye nguzo, ni shoot and kill.no explanation. Lakini ipo siku yenu.
a-young-armed-forces-of-liberia-soldier-accused-of-looting-and-murder-is-shot-by-a-firing.jpg
 
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...

Hufai

Umeshindwa
Huna weledi

Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...

Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Watamtungia wimbo kama Wa Chandele
 
Kulikuwepo na uchaguzi? hiyo Oktoba?
Samia ni mhalifu, yupo kwenye muda wa kuazima tu kabla ya kuwajibishwa. Muda huo hutaupanga wewe wala yeye.
Ndoto huwa zonaisha ukiamka tu asubuhi, ila wewe una ndoto zisizoisha. Kuna siku nilishauri kama una ndugu wakupeleke Mirembe. Mental case
 
Samia yumo kwenye hali mbovu zaidi kuliko wakati mwingine wowote; hata kabla ya huo uchafuzi unaouzungumzia wewe.

Unaweza kujilisha upepo vyovyote unavyotaka wewe, lakini unajuwa hakuna kura milioni 31 za waTanzania zilizomchagua Samia Suluhu Hassan

Samia ni mhalifu anayesubiri tu kuwajibishwa kwa uhalifu wake.
Hata kama alichaguliwa kwa kura 1,000 ila ndiye Rais wetu hadi 2030.
 
Justice system ni concept iliyefeli kabisa among black people, wapi dunia ya watu weusi kuna haki wakuu?
 
Nchi ikikombolewa watu kama nyie ni wa kuwekwa kwenye firing squad, mnavishwa vitambaa vyeusi usoni halafu tunawafunga kwenye nguzo, ni shoot and kill.no explanation. Lakini ipo siku yenu.
a-young-armed-forces-of-liberia-soldier-accused-of-looting-and-murder-is-shot-by-a-firing.jpg
Hangaika kukkmboa familia yako kwenye umaskini wewe kenge. Nyerere alishamaliza kuokomboa Tanganyika kutoka kwa mkoloni Mwingereza. Hayo mnayoongea na akina Heche ma Maria Sarungi ni harakati za kipofu. Hqmjui mnachotaka
 
Masaju ni kada wa CCM kama ilivyo kwa Ibrahim Juma, Chande na hata Augustino Ramadhani aliyetaka kugombea urais kupitia CCM.

Hivyo hawezi kupingana na mwenyekiti wake wa CCM.
20260428_032859.jpg
 
Mkuu kama unaasikiliza Umma hoja si kuingilia kesi au kuachiwa huru.

Hoja ni kwamba ' the process is tampered'' kuna unnecessary delays Mahakama inasaidia hilo kutokea

Kuna ku 'conspire' kati ya Mahakama na DPP , CJ analijua hilo!

CJ haelezwi aingilie kesi au ahukumu, anatuhumiwa kuruhusu 'tampering' iendelea akijua ni kosa

Kesi haina uchunguzi kinachofanyika ni '' technicalities'' za kucehelewesha.

Ima Tundu Lissu ahukumiwe kifungo au kuachiwa ni sehemu ya HAKI. Justice delayed is justice denied.

The buck stops with CJ, ndio msingi wa kusema ajiuzulu kwasababu kama kashindwa ajaribu mwingine mwenye guts
Kuna kesi za mwaka 2016 Mahakama Kuu kama ile ya Ugaidi huko Kanda ya Mwanza. Kuna kesi Mhakama ya rufani toka mwaka 20222 ndiyo zinasikikizwa sasa.

Lissu awe mpole tu hadi atakapo pangiwa. Hakuna umaarufu kwenye kutuhumiwa
 
Hangaika kukkmboa familia yako kwenye umaskini wewe kenge. Nyerere alishamaliza kuokomboa Tanganyika kutoka kwa mkoloni Mwingereza. Hayo mnayoongea na akina Heche ma Maria Sarungi ni harakati za kipofu. Hqmjui mnachotaka
Ni kweli Nyerere aliikomboa nchi toka kwa mkoloni mweupe, sasa safari hii itakambolewa toka kwa mkoloni mweusi. Kenge mkubwa wewe, kum@ny0k0 , unafikiri Polepole kuacha ubalozi alikuwa masikini? wewe ulishafikia hata robo ya cheo chake?
Au unafikiri kila mkosoaji ni masikini...

Nasemaje tutawapanga kwenye firing squad...
 
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...

Hufai

Umeshindwa
Huna weledi

Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...

Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Judiciary ya Bongo ni moja ya jumuia za CCM.
 
Ni kweli Nyerere aliikomboa nchi toka kwa mkoloni mweupe, sasa safari hii itakambolewa toka kwa mkoloni mweusi. Kenge mkubwa wewe, kum@ny0k0 , unafikiri Polepole kuacha ubalozi alikuwa masikini? wewe ulishafikia hata robo ya cheo chake?
Au unafikiri kila mkosoaji ni masikini...

Nasemaje tutawapanga kwenye firing squad...
Sasa Polepole badala ya kukomboa nchi ameishia wapi? Acheni ujinga nyie pimbi
 
Hata kama alichaguliwa kwa kura 1,000 ila ndiye Rais wetu hadi 2030.
Hiyo ndiyo sababu itakayomfanya akumbane na moja kati ya hizi 'options' tatu zinazomkabiri:
1. aanue angali na nafasi akimbie hatraka kwa wajomba kabla mikono ya waTanzania haijamfikia

2. aendelee kukaza shingo na ulaghai, afie jela

3. akumbane na kifo cha aibu kubwa watakachomwelekeza waTanzania.

Haya ndiyo yanayomsubiri sasa hivi, hana matumaini mengine yoyote tena.
 
Ndoto huwa zonaisha ukiamka tu asubuhi, ila wewe una ndoto zisizoisha. Kuna siku nilishauri kama una ndugu wakupeleke Mirembe. Mental case
Samia hana ndoto tena, ni jinamizi linalosumbua kila mara. Hajui dakika inayofuata itakuwa na tukio gani.

Wewe upo hapa ukijuwa wazi hali ya mfugaji wako ni tete sana; lakini hilo halikuzuii kujifanya hujui kitu. kufikia hatua ya dharau ya kuwaambia watu Samia kachaguliwa kwa "kura 1000"!

Hali hiyo inakupa wewe na Samia utulivu wa mioyo yenu?
 
fikiria watangulizi wake ndo Jaji Chande na Prof Juma, nchi hii ipo shimoni kitambo sana, inasubiri kujifia moja kwa moja
 
Back
Top Bottom