Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...

Hufai

Umeshindwa
Huna weledi

Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...

Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
nonsense
 
Mpumbavu ni wewe ambaye unaunga mkono hoja ambayo haina mashiko. Nani kakuambia kujiuzulu kwa Jaji Mkuu ndiyo kutatua matatizo tuliyo nayo?

Nyinyi mligoma kushiriki uchaguzi Oktoba 2025, na bado Samia na CCM wamevuka ma wanatawala hadi 2030, je mumepata nini? Pumbavu zenu
Hafiki 2030
 
CJ haelezwi aingilie kesi au ahukumu, anatuhumiwa kuruhusu 'pering' iendelea akijua

The buck stops with CJ, ndio msingi wa kusema ajiuzulu kwasababu kama kashindwa ajaribu mwingine mwenye guts
Mkuu Nguruvi3, my concern is I'm just trying being honest and objective on fairness and balance, mtu kateuliwa juzi tuu, leo unataka ajiuzulu kwa issue moja tuu ya a single case ya TL, huku wakuu wengine wa mihimili wamefanya madudu makubwa, mabaya ya ajabu ambayo sio tuu yangewahitaji wajiuzulu, but by now, they should have been behind bars long time ago!, mbona hao wengine tumewanyamazia?!, mbona sikuwahi kusikia wakiambiwa waachie ngazi?!, why only CJ?!, or could be it is cherry picking?, tunaanza na huyu, then little by little tutawafikia na wengine wote?.
P
 
Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Wamekuwa kama, au ni tawi la CCM halisi?
Tanzania hii kuna kitu ambacho siyo tawi la CCM?

Najuwa wengi wa watu; ikiwa pamoja na mleta mada (kwa bahati mbaya sana) bado wanategemea uwepo wa mabadiliko Tanzania huku CCM ikiendelea kudunda ikiwa katika sura yake ile ile!
.
That will never happen..

"CCM ni lazima ife ili Tanzania ipone"
 
Amen
 
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...

Hufai

Umeshindwa
Huna weledi

Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...

Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM

Naunga mkono. Anachoongea na anachokifanya ni tofauri kabisa.
 
Mkuu, kesi ya Tundu ina ' public interest'', Mahakama inajua hilo. Kwasasa everything is revolving and gravitating on Tundu's case. Nani amewatia upofu hawa watu?
Interesting observation.
My two cents: huu si upofu wa kawaida, ni wa kujiamria wawe vipofu kwa kiburi, wakijuwa hakuna lolote litakalotokea kuwabughudhi, kama ilivyo katika maamuzi mengine yote waliyokwishafanya na wanaendelea kufanya.

Hawa hawana tena consideration yoyote ya hiyo "public interest"; ballil ni interest yao ndiyo inayo override kila kitu.

They believe/know (may be erroneously), that there will be no consequences for their actions

Rais wa nchi (hata kama ni FEKI), anaposimamama mbele za watu na vyombo vya habari na kutoa hotuba za hovyo kama anavyofanya Samia, hapo kweli bado yapo matumaini ya "public interes considerationt" katika jambo lolote?

"Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu watovu wa adabu wakija kwako chapa mikwaju, wakija kwangu nachapa mikwaju" Rais FEKI Samia.

Mtu wa aina hii anajuwa maana ya 'public interest' ni kitu gani?
 
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...
Just to be fair mkuu 'Mzee Mwanakijiji'; sote tunajuwa haya yalipoanza kushamiri na kuwa kama yalivyo sasa..

Masaju siyo wa kwanza, ni mwendelezo tu wa yaleyale yaliyowakumba wenzake kama akina Jumanne Ibrahim; na nina uhakika unajuwa vizuri historia yake.

Mahakama zilikuwa ni zile za akina Nyalali
 
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...

Hufai

Umeshindwa
Huna weledi

Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...

Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Haini ?
 
Hata kwenye uchaguzi mwaka jana manabii koko mlisema hafiki Oktoba 2025. Lakini nini kinaendelea.

Fanyeni mambo ya maana achaneni na unabii na kususa. Huwezi kuleta mabadiliko ukiwa nje ya bunge
Kulikuwepo na uchaguzi? hiyo Oktoba?
Samia ni mhalifu, yupo kwenye muda wa kuazima tu kabla ya kuwajibishwa. Muda huo hutaupanga wewe wala yeye.
 
Kulikuwepo na uchaguzi? hiyo Oktoba?
Samia ni mhalifu, yupo kwenye muda wa kuazima tu kabla ya kuwajibishwa. Muda huo hutaupanga wewe wala yeye.
Uchaguzi ulikuwapo na tulipiga kura kasoro nyie wapumbavu ambao ni misulkule ya Tundu ambaye alisema No election No reforms.

Hila zenu zilifeli, jipangeni kwa 2030
 
Uchaguzi ulikuwapo na tulipiga kura kasoro nyie wapumbavu ambao ni misulkule ya Tundu ambaye alisema No election No reforms.

Hila zenu zilifeli, jipangeni kwa 2030
Samia yumo kwenye hali mbovu zaidi kuliko wakati mwingine wowote; hata kabla ya huo uchafuzi unaouzungumzia wewe.

Unaweza kujilisha upepo vyovyote unavyotaka wewe, lakini unajuwa hakuna kura milioni 31 za waTanzania zilizomchagua Samia Suluhu Hassan

Samia ni mhalifu anayesubiri tu kuwajibishwa kwa uhalifu wake.
 
Wamekuwa kama, au ni tawi la CCM halisi?
Tanzania hii kuna kitu ambacho siyo tawi la CCM?

Najuwa wengi wa watu; ikiwa pamoja na mleta mada (kwa bahati mbaya sana) bado wanategemea uwepo wa mabadiliko Tanzania huku CCM ikiendelea kudunda ikiwa katika sura yake ile ile!
.
That will never happen..

"CCM ni lazima ife ili Tanzania ipone"
Umenikumbusha ule msemo unaosema ili mbegu iote lazima ife kwanza.
 
Hizi mahakama zimekuwa kama matawi ya CCM. Hovyo kabisa!
Mahakama ya Rufaa kule Dodoma waliposema Chadema ipo huru kuendesha shughuli zake kila msema hovyo alifurahi.

Mahakama inakuwa ya CCM pale isipotenda mambo ya kuwafurahisha. Huo ni mtazamo wa kiuendawazimu.
 
Back
Top Bottom