Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,421
Hilo ni dua la kuku tu, halimpati mwewe. Nakuhakikishia utaandika hayo maneno humu JF miaka yote 4 iliyo mbele na hakuna litakalompataHiyo ndiyo sababu itakayomfanya akumbane na moja kati ya hizi 'options' tatu zinazomkabiri:
1. aanue angali na nafasi akimbie hatraka kwa wajomba kabla mikono ya waTanzania haijamfikia
2. aendelee kukaza shingo na ulaghai, afie jela
3. akumbane na kifo cha aibu kubwa watakachomwelekeza waTanzania.
Haya ndiyo yanayomsubiri sasa hivi, hana matumaini mengine yoyote tena.