With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Kaka mkubwa heri ya siku ya kuzaliwa kwako...
Nishtue mida ya keki atii...

Dady watu8 kuhusu keki usijali , bintiyo ndie nnaesimamia zoezi zima la ukataji....hata ukihitaji ya kunywea chai wiki nzima utapata!
 
Last edited by a moderator:
Mapenzi lukuki unammwagia we unafikiri si wengine hatuumii?
Cc nitonye........unaona tunavyozodolewa ndugu yangu?

Hahahaha, nyie mmekomaa sana lol.... Mapenzi kwa mtoto ni baraka kwa mwenyezi Mungu .... Afu mwambie nduguyo nitonye bado naisubiri talaka yangu, nashangaa hajanipa mpaka leo
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday EricB52!!! Mungu akupe maisha marefu, mazuri na yenye amani tele , Mungu akujalie kila la kheri, akujalie haja ya moyo wako, wapende na uwaheshimu wazazi wako, Mungu akupe moyo wa kusaidia ambao hawana, na akujalie baraka kwa kila ukitoacho, abariki kizazi chako. AMINI
 
Happy Birthday kijana, Mungu amekufikisha leo punguza kuchovyachovya ili na mwakani tusherehekee tule na kunywa kama leo...

Mwenyekiti Baba V mtoto ndio kwanza kazaliwa leo, anajua kuchomvya kweli?
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday EricB52!!! Mungu akupe maisha marefu, mazuri na yenye amani tele , Mungu akujalie kila la kheri, akujalie haja ya moyo wako, wapende na uwaheshimu wazazi wako, Mungu akupe moyo wa kusaidia ambao hawana, na akujalie baraka kwa kila ukitoacho, abariki kizazi chako. AMINI

Duuh Lisa umetisha... Hiyo mibaraka mpaka nimemuonea wivu mtoto..... Amen kwa niaba ya Erickb52 !
 
Last edited by a moderator:
Duuh Lisa umetisha... Hiyo mibaraka mpaka nimemuonea wivu mtoto..... Amen kwa niaba ya Erickb52 !

Hahahaahahaaa!!!! umenifanya nicheke, mama unamwonea wivu mtoto, haya na wewe pia Mungu akujalie na akupe kizazi chenye manufaa kwano na jamii kwa ujumla.
 
Happy Birthday Erickb52 Mungu akuongeze miaka na aendele kukujalia afya njema
sweetlady nipe mchakato keki itakatwa mitaa gani......nachuma kahawa lakini sitakosa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom