With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Kwa niaba ya mai waifu wangu kipenzi Paloma ninapenda nikutakie kuzaliwa kwema.. Mungu azidi kukung'arishia nyota yako..

Btw.. Maisha yanaanza unapofika miaka 80..
 
Last edited by a moderator:
happy birthday braza ericB52 keki tu ndo nataka mimi....zawadi nitaku ezzy-pesa!
 
Last edited by a moderator:
Happy, happy birthday to u,
happy, happy birthday to u,
happy, happy birthday dear Erickb52
happy, happy birthday to u!!


You were born in the zoo,
like monkey and donkey,
and buffaloes like u,
happy birthday to u!

May the good God bless u,
happy long long life to u,
may u've many more birthday
HAPPY BIRTHDAY TO YOU!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mwambieni Mamake Erickb52 nakuja na pampasi.

Happy Birthday dogo..............
 
Last edited by a moderator:
acha kujifanya unazo na kumbe hata baiskeli huna unaliwa tu wewe, na wala hatukutaki kwenye familia yetu,
usijipendekeze mtwana na mtumwa wewe ebooo!
happy birthday braza ericB52 keki tu ndo nataka mimi....zawadi nitaku ezzy-pesa!
 
my bro happy bday nakutakia maisha marefu yenye amani na utulivu na furaha sana
 
Kwa niaba ya mahabuba wangu Lady doctor, tunakutakia kila la kheri katika kumbukumbu yako ya kuzaliwa swahiba wangu Erickb52.

Siku hazigandi ni mwaka jana tu tulisherehekea miaka yako 73 sasa ushagonga 74 !!



MUNGU akupe maisha marefu best.

aishi miaka 74X74 Mpaka Yesu arudi
 
Last edited by a moderator:
acha kujifanya unazo na kumbe hata baiskeli huna unaliwa tu wewe, na wala hatukutaki kwenye familia yetu,
usijipendekeze mtwana na mtumwa wewe ebooo!

Jamani tuko kwenye maraha ya kumwimbia mtoto, we Block City mbona unampigia mtoto makelele? Ntamwambia red brigade Filipo akutoe nje sasahivi
 
Last edited by a moderator:
siunajua kuwa EMT ni kaka mkubwa kisha nikafuata mie na ndipo Erickb52 amefunga dimba kwa upande wa wanaume tunamsubiria mtoto wa kike tupate dada maana sisi midume tukiwa wengi bhana haipendezi
We Block City hebu acha kumkuza mwenzio khaa, your bro wakati mwenzio ndio kazaliwa leo heeeee..... Ahsante kwa wishes kwa niaba ya mtoto Erickb52
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom