With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Duh hii party imenipita kushoto mbona sikupata mnuso huu sweetlady na wala harufu ya cake haisikiki huku kwa Erickb52 maana nimepita kwake naona paka wamelala jikoni
Happy Birthday wahiba Erickb52 mimi na my wife wangu Dena Amsi tunakutakia kila la heri katika siku hii yako muhimu na Mwenyezi Mungu akutangulie katika mipango yango na maisha yako na siku zako zikawe za heri
Ndyofu inakuhusu ila kwa kuwa leo wewe ni katoto tutakuletea pampers za kutosha na maziwa ya kopo ili ukue na kuwa mtoto mzuri
 
Last edited by a moderator:
Happy bday mkaka wangu wa ukweliii Erickb52 ,
kwa furaha niliyonayo ilinibidi jana niruke na fastjet
ATOWN ili kuwandalia wageni wetu leo mahanjumati ya kirundi,

Najua wengine hawajui chakula hicho ila tutawawekea makande
kwa wale wasiopenda chakula hicho.

Kaka yangu kipenzi Erickb52 pokea kagift haka kadogo
msishangae keki ya nguo hiyo keki2.jpg

na hii amekupa shemejio alitaka kukununulia bukta nikamkatalia

keki 3.jpg

nakutakia maisha marefu yaliyojaa furaha, upendo na amani pia na afya njema
keki neno.jpg

Shukrani za kipekee zimemwendee my cousin sweetlady kwa kunikumbusha
jambo hili la kipekee nilikuwa nimesahau, sijui yeye atakuja saa ngapi hapa Atown?

happy.jpg
 
Attachments

  • keki 1.jpg
    keki 1.jpg
    5 KB · Views: 47
Last edited by a moderator:
Hahahaha, nyie mmekomaa sana lol.... Mapenzi kwa mtoto ni baraka kwa mwenyezi Mungu .... Afu mwambie nduguyo nitonye bado naisubiri talaka yangu, nashangaa hajanipa mpaka leo

Hakupi ng'o hata kama umezaa nje ya ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaahahaaa!!!! umenifanya nicheke, mama unamwonea wivu mtoto, haya na wewe pia Mungu akujalie na akupe kizazi chenye manufaa kwano na jamii kwa ujumla.

Hahahahaha..... Amen Lisa, ubarikiwe sana mpendwa
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Erickb52 Mungu akuongeze miaka na aendele kukujalia afya njema
sweetlady nipe mchakato keki itakatwa mitaa gani......nachuma kahawa lakini sitakosa

Hahahaha wifi unachuma kahawa?? Lolest....ukija niletee japo kisado .... Keki akiamka mtoto atakuja kutoa mwongozo wifi usijali
 
Last edited by a moderator:
Duh hii party imenipita kushoto mbona sikupata mnuso huu sweetlady na wala harufu ya cake haisikiki huku kwa Erickb52 maana nimepita kwake naona paka wamelala jikoni
Happy Birthday wahiba Erickb52 mimi na my wife wangu Dena Amsi tunakutakia kila la heri katika siku hii yako muhimu na Mwenyezi Mungu akutangulie katika mipango yango na maisha yako na siku zako zikawe za heri
Ndyofu inakuhusu ila kwa kuwa leo wewe ni katoto tutakuletea pampers za kutosha na maziwa ya kopo ili ukue na kuwa mtoto mzuri

Wala hujachelewa Mr Rocky....... Shughuli ndio kwanza imeanza..... ukipita tena mitaa hiyo sasahivi utakuta majiko yanawaka balaa... Karibuni sana! Uje na kigari cha mtoto eeh
 
Last edited by a moderator:
Happy bday mkaka wangu wa ukweliii Erickb52 ,
kwa furaha niliyonayo ilinibidi jana niruke na fastjet
ATOWN ili kuwandalia wageni wetu leo mahanjumati ya kirundi,

Najua wengine hawajui chakula hicho ila tutawawekea makande
kwa wale wasiopenda chakula hicho.

Kaka yangu kipenzi Erickb52 pokea kagift haka kadogo
msishangae keki ya nguo hiyo View attachment 105005

na hii amekupa shemejio alitaka kukununulia bukta nikamkatalia

View attachment 105008

nakutakia maisha marefu yaliyojaa furaha, upendo na amani pia na afya njema
View attachment 105010

Shukrani za kipekee zimemwendee my cousin sweetlady kwa kunikumbusha
jambo hili la kipekee nilikuwa nimesahau, sijui yeye atakuja saa ngapi hapa Atown?

View attachment 105013

Waoooooooo, thanks sana dada binamu ladyfurahia.......tuko pamoja mpenzi!
 
Last edited by a moderator:
Wala hujachelewa Mr Rocky....... Shughuli ndio kwanza imeanza..... ukipita tena mitaa hiyo sasahivi utakuta majiko yanawaka balaa... Karibuni sana! Uje na kigari cha mtoto eeh

Nimeshakinunua hapa na ndo mana nasema leo ndyofu zinapumzika analishwa maziwa ya kopo na kuvalishwa pampers mtoto mdogo Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Nimeshakinunua hapa na ndo mana nasema leo ndyofu zinapumzika analishwa maziwa ya kopo na kuvalishwa pampers mtoto mdogo Erickb52

Afu kitoto kinaonekana kitakuwa kivivu sana Mr Rocky, mpaka sahizi na kelele zote wageni waalikwa wanazopiga hapa wala hakajaamka tu khaaaa
 
Last edited by a moderator:
Afu kitoto kinaonekana kitakuwa kivivu sana Mr Rocky, mpaka sahizi na kelele zote wageni waalikwa wanazopiga hapa wala hakajaamka tu khaaaa

Katakuwa kameshiba kunyonya maana kakishiba ni kavivu sana kuamka aise Erickb52 kokote uliko njoo huku bana hata kama umelala amka bana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom