With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Big L inahusu leo aisee!
Vinginevyo mtaua bendi!
Hongera sana Erickb52 kwa sherehe yako ya kuzaliwa!
 
Last edited by a moderator:
kwa niaba ya mr kiwatengu tunakutakia heri ya sikukuu ya kuzaliwa mungu akupe maisha marefu na afya tele na akuongezee hekima zaidi Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Big L inahusu leo aisee!
Vinginevyo mtaua bendi!
Hongera sana Erickb52 kwa sherehe yako ya kuzaliwa!

Inahusu sana asee, tena na hivi mtoto kazaliwa mwisho wa mwezi daaah, raha tupu..... Mwenyekiti mwongozo wako unahitajika sana hapa!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha ahsante shem sweetlady kwa reminder.
Nikutakie heri njema binamu
Erickb52 Uishi maisha marefu na afya tele. Mungu akujalie kuona wajukuu wa vitukuu vyako.

Najua such times utakuwa na shehena ya stories kibao na wajukuu watakuwa wamekuzunguka all the time.


Karibu sana shemeji Paw...... Usikose kuhudhuria tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya mahabuba wangu Lady doctor, tunakutakia kila la kheri katika kumbukumbu yako ya kuzaliwa swahiba wangu Erickb52.

Siku hazigandi ni mwaka jana tu tulisherehekea miaka yako 73 sasa ushagonga 74 !!



MUNGU akupe maisha marefu best.

Hahaha, ashagonga 74 afu bado unamwombea azidi kuishi khaaa, atatumalizia hewa huyu.... Arushaone tunakutegemea sana uje kulinda usalama ukumbini manake nimeambiwa wewe ni red brigade uliyefuzu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom