The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,540
Hahahahaaaa yan hadi mkeo kafanikiwa kunitoa torabola
Uwiiii hapana,mekwambia ushauri unaohusu kifanyio siwezi kufanyakimwagie kifanyio chake tindikali
Muuza ndizi awe obama?
Mbululu mbululu mbulula eeeeeeeeh
Sharobaro kumbe ni mshamba....mbululaaaaa
Unaujua huu wimbo?
Kapewa bure anatoa bure tena kwa moyo mkunjufu..haiuzwi na yafaa sana kwa matumizi ya nyumbanikwani zawadi mtu uuziwa?
Uwiiii hapana,mekwambia ushauri unaohusu kifanyio siwezi kufanya
Haya nimeahirisha usijali.
Mbona wifi ake sina habari za hao mapacha?
Hayakuhusu
ukilala unamuota kwenye bakuri la futari
Kapewa bure anatoa bure tena kwa moyo mkunjufu..haiuzwi na yafaa sana kwa matumizi ya nyumbani
[/QUOTE]......atiiii!!
hivi unajua kuwa mi ni wifi yako...... So kuwa makini unapofuatilia maongezi ya wanandugu