With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

Last edited by a moderator:
ila nitamwambia na kumkarisha chini atulie na wewe tu wifi yangu kwani ndiye mwenye adabu na heshima pale nyumbani na unafaa kuitwa mke wa Erickb52 sio hao wengine anaotuletea home mpaka wanamdharau mama yetu ni wewe tu wa pekee wifi unayetupenda na kutujali
Sante wifi kwa ushauri
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday dear Erickb52
Happy birthday to you!!!


How old are you now
How old are you now
Happy birthday, happy birthday
Happy bitthday to you!!!



Dear Erickb52

Hoping that this day will be a special one for you,

A day for looking forward to the things life holds in store,

A day to hope your future brings just what you are wishing for and

May you find joy in every moment, every hour of your special day


Happy Birthday!!!!


Wapendwa wana chit chat na jf kwa ujumla, naomba niwaite kwa itifaki tuje tuungane na kufurahi pamoja na ndungu/rafiki yetu kipenzi Erickb52 katika siku hii muhimu sana kwake....... Namwita

Baba kipenzi watu8 na mama mpendwa measkron

Baba wa mwanangu Nicas Mtei

Mabinti wa baba na mama kipenzi charminglady, Passion Lady na WiseLady

Madada binamu Lady doctor na ladyfurahia

Pacha wangu wa ukwee TANMO.... ...bila kumsahau kaka mpendwa Davie S.M

Swahiba wangu wa rohoni Husninyo (nakumiss sana ujue eeh)

Mawifi wapendwa AshaDii, Blaki Womani na @FP

Wake wenza King'asti, marejesho na Lily Flower

X husb Vin Diesel na nitonye

Jirani yangu wa pekee Preta

Makamanda wa ukweli Crashwise, Filipo, LiverpoolFC, Mungi, Arushaone, Mwita Maranya, Yericko Nyerere, Fidel80, Mzee wa Rula, PakaJimmy, @MD 25, Ben Saanane, Ruttashobolwa, Masanilo, Mr Rocky na Baba V

Jamani kwenye hii party magamba pia mnakaribishwa kwa moyo mkunjufu Ritz, Rejao (upo kaka?) FaizaFoxy, HAMY-D, zomba, M23, njia panda, babayako na wengineo .....ila hala hala msijekuja na mabomu manake huu sio mkutano wa chadema na plz suti za kijani na manjano ni marufuku

Mashosti nyie haswaaa ndio mwatakiwa kwaajili ya kupokezana kumbeba baby boy Erickb52..... Madame B, Paloma, Mamndenyi, amu, Arabela, @YINNAH, cacico, BADILI TABIA, Nivea, sister, Mrembo by Nature, Kongosho, snowhite, Kipipi, KOKUTONA, Elizabeth Dominic, Lisa, mimisa, Dena Amsi, The secretary, Heaven on earth, Queen Kan , Chocs na wengineo


Wakaka pia uwepo wenu ni wa muhimu sana Kaizer, Asprin (hivi wewe ni kaka au mjomba? Sikumbuki vizuri ujue), Mtambuzi, The Boss, BAK, KakaKiiza, MziziMkavu, uporoto01, Nyani Ngabu, Slave, Katavi, Chimbuvu, Bishanga, kiwatengu, sosoliso, Mtoto halali na hela, Mentor, Bujibuji, Dark City, figganigga, Eiyer, sijui nini na wengineo..... Shemeji Paw sijakusahau nakuona macho yalivyokutoka mwambie na Invisible nae anakaribishwa sana!

Wapendwa kama sijakumention am sorry but hiyo haimaanishi kuwa hujakaribishwa kumwimbia mtoto Erickb52, nyote mnakaribishwa

Erickb52 tunakupenda na tunafurahi pamoja na wewe, Mungu akupe maisha marefu........ Mwaaaaaaaaaaah!

HBD jombaa!
 
[QUTE=Chocs;6975229]Hivi Erickb52 mnapena nini?

Jana nilikuelewa, leo tena mwapeana!! loool[/QUOTE]

hivi unajua kuwa mi ni wifi yako...... So kuwa makini unapofuatilia maongezi ya wanandugu
 
Last edited by a moderator:
Nami nakushauri u s i m w a c h e m u m e o, mpaka kieleweke. Mtuige sisi, Lady doctor atakupa mbinu za kukabiliana na kina Bishanga, PakaJimmy, Kaizer, Ruttashobolwa na wakware wenzao kina Filipo.
BCC Erickb52.
.
Mkuu,
Ukware mi niliacha baada ya kuona ulivyoumizwa pale Korogwe aisee babaangu!
Nilishuhudia ulivyomgharamia Arabela mavituvitu mengi, nauli, matunda aina ya peas na yale matunda-damu, Kitambaa cha SoSo, na Airtime, lakini baadae, kwa maringo kabisa akaondoka Filipo kuelekea Makorora, na wakaishi kwa siku 4 ndani ya chandarua moja!!!.

Kama marejesho hakujua hili, basi na ajue leo!
 
Acha kiherehere wewe mama kiwowowooo
Mwache akatae yeye eboooooo!
Mbona tunazibiana bila sababu?
Khaaaaaa hebu nitue meeeeen!
sweetlady i lavu yu


Hahahahahaha.... Na wewe hebu mtue cousin wangu meeeeen!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom