Wimbo wa Taifa hatuna hati miliki kwa sababu tume "copy" toka ANC, na haupo kwenye Sheria na Katiba yetu. Tumeazima

Nyumbu at their best.
Yaani wanatetea hata upuuzi. Tungeni nyimbo yenu ya kukitukuza chama chenu sio ku edit our National anthem.
Mkuu kufanyia remix wimbo unaoupenda haijawahi kuwa kosa sana sana unaomba ruhusa ya anaeumiliki.Sasa Kama Chadema wameufanyia remix na mmiki wake amekasirika basi aende mahakamani
 
Mkuu kuheshimu ni kufanya nini? Kufanya remix ya wimbo wa mtu ni kuudharau wimbo wake au kuupenda? Ninyi watu mbona ujinga wenu umezidi kiwango? Au kwa kuwa imesema serikali ndo mnajitoa ufahamu Kama mlivyofanya kwenye corona?
Hivi mtu na akili zako hukusoma jinsi ya kuheshimu wimbo wa taifa acheni kukengeuka ni nchi gani watu huuchezea wimbo wa taifa ka hao chadema, kubalini mumekengeuka.
Sio kusema tu serikali mtu timamu anachezeaje wimbo wa taifa, very shame
 
Naona si mda mrefu mtauliza kuhusu alama ya Mkuki na Ngao tumeiga kutoka wapi.

Baada ya hapo mtauliza kuhusu bendera yetu ya taifa.

Tusubiri tu October 28.

Baada ya matokeo ndo mtaielewa uzuri serikali ya 2020-2025
 
Sawa hatuna umiriki nao,
Lakini tutumie busara Basi,huu wimbo unaheshima yake hapa bongo,unaimbwa bungeni,Ikulu,mashureni hata kwenye matamasha ya kimataifa,huu wimbo ni Kama Sala kwetu,
Tukienda kushiriki kombe la dunia,huu wimbo unapigwa,sasa Chadema msijifanye mna akili sana,kuriko watz wote,hata Kama hakuna Sheria inayoulinda,msiuchezee,mfano mkichukua madaraka mnaweza kuongeza ubeti wa kichaga,kinyiramba,kisukuma,kimakuwa kwenye huu wimbo?
Acheni Kiki za kitoto,yaani mmenichefua sana,
Na bado utachefuka sana mwaka huu,mpaka mjifunze kuweka na taratibu kwa kila jambo
 
Wimbo wetu wa Taifa umetokana na wimbo Nkosi Sikeleli Afrika uliotungwa 1897 na Enoch Sontonga (msauzi) kama wimbo wa ANC
Umetoholewa kuwa wimbo wa Taifa wa Zambia, Zimbabwe, Namibia na Tanzania
Sisi wenyewe tumebadili maneno ya wimbo na copyright si yetu 😁
View attachment 1528084View attachment 1528085View attachment 1528086View attachment 1528088View attachment 1528090
Kwa akili yako ni sahihi kuudharau utakavyo simply because hatuna hati miliki? Sijui kwenye vichwa vyenu kuna ubongo kweli?
 
Hawa jamaa hawatumii akili. Na uhakika Lissu akiingia madarakan cha kwanza atabadili wimbo wa taifa pamoja na bendera ya Taifa na wafuasi wake watachekelea na kushangilia
Hivi mtu na akili zako hukusoma jinsi ya kuheshimu wimbo wa taifa acheni kukengeuka ni nchi gani watu huuchezea wimbo wa taifa ka hao chadema, kubalini mumekengeuka.
Sio kusema tu serikali mtu timamu anachezeaje wimbo wa taifa, very shame
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Mkuu kuheshimu ni kufanya nini? Kufanya remix ya wimbo wa mtu ni kuudharau wimbo wake au kuupenda? Ninyi watu mbona ujinga wenu umezidi kiwango? Au kwa kuwa imesema serikali ndo mnajitoa ufahamu Kama mlivyofanya kwenye corona?
Wimbo ni watz wote siyo wa Chadema pekee wakati mwingine tumieni akili kidogo basi... utoto umezidi.
 
Hawa jamaa hawatumii akili. Na uhakika Lissu akiingia madarakan cha kwanza atabadili wimbo wa taifa pamoja na bendera ya Taifa na wafuasi wake watachekelea na kushangilia
Kwa mihemko hii watapatia wapi huo uongozi, ccm tu wakipiga propaganda ya hii ujinga waliofanya ccm Ina win asubuhi. Waache Mambo ya ajabu
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Sawa hatuna umiriki nao,
Lakini tutumie busara Basi,huu wimbo unaheshima yake hapa bongo,unaimbwa bungeni,Ikulu,mashureni hata kwenye matamasha ya kimataifa,huu wimbo ni Kama Sala kwetu,
Tukienda kushiriki kombe la dunia,huu wimbo unapigwa,sasa Chadema msijifanye mna akili sana,kuriko watz wote,hata Kama hakuna Sheria inayoulinda,msiuchezee,mfano mkichukua madaraka mnaweza kuongeza ubeti wa kichaga,kinyiramba,kisukuma,kimakuwa kwenye huu wimbo?
Acheni Kiki za kitoto,yaani mmenichefua sana,

Hivi tatizo ni nini?

Kwani CHADEMA wao Taifa lao ni lipi ili waimbe wimbo wa taifa lao?...

Kwa sbb kama huu ni wimbo wa taifa na unaweza kuimbwa na kila mtu wa taifa husika, shida iko wapi?

Hawa ni wazalendo kwelikweli. Wameupa heshimu wimbo wa taifa. Kwa sbb kabla ya kuanza shughuli yao waliimba wimbo...

Mashuleni tunafanya hivyo. Michezoni nk

Hivi tatizo ni huko mwishoni ktk kuimba kwao kuongeza maneno yao??

Hiyo haijaubadilisha wimbo. CHADEMA hawajaandika wimbo mpya jamani. Wimbo bado ni uleule...!!
 
Back
Top Bottom