Wimbo wa Taifa hatuna hati miliki kwa sababu tume "copy" toka ANC, na haupo kwenye Sheria na Katiba yetu. Tumeazima

Mbona wameweza.

Flyover ya Ubungo
Flyover ya TAZARA
upanuzi wa barabara ya Kimara hadi Kibaha
Upanuzi wa bagamoyo road.
Unataka nini tena

Ccm oyeeeeeeee
Upuuzi huo .. Rasilimali zilizopo katika taifa hili na hivyo ulivyo vitaja ni sawa sawa na hakuna kilicho fanyika ... Watu wanaishi hata maji hawana wana kunywa maji pamoja na mifugo licha ya hii nchi kuwa na mito ya kutosha ..mabwawa na maziwa but still raia wa nchi hii wanaishi katika shida ya maji
 
Ndio maana tumekuwa tukisema kuwa Tundu Lissu ni binadamu mwenye akili hatua moja mbele ya watu wengi.
Hilo jambo la kutambuliwa kisheria wimbo wetu wa taifa alisha lisema bungeni na serikali hii iliyo lala usingizi hata haijagutuka.

Huyu binadamu ni shida
Ana haki ya kusema hakuna kesi ya kumfunga anajua alitamka nini na kwa wakati gani JPM this time amepata mtu sahihi wa kumchalange
 
Huwa sikuoni ukikemea Kiongozi mkuu wa nchi anapowadharirisha wanawake , sijui ndio mahaba au ni kutokutambua nguvu zielekezwe wap?
Mkuu mbona Mimi napinga uzalilishaji wa aina yoyote tu ule nikiuona maana kina Dr mpango nao waliitwa wapumbavu, I do believe mheshimiwa alipitiwa tu ulimi
 
Upuuzi huo .. Rasilimali zilizopo katika taifa hili na hivyo ulivyo vitaja ni sawa sawa na hakuna kilicho fanyika ... Watu wanaishi hata maji hawana wana kunywa maji pamoja na mifugo licha ya hii nchi kuwa na mito ya kutosha ..mabwawa na maziwa but still raia wa nchi hii wanaishi katika shida ya maji
Tumpe miaka mingine 20 mtukufu magufuli Atuletee maendeleo
 
Sasa unacholalamika ni nini?? Mnashindwa kukemea ubaguzi unaofanywa na watawala mnakuja kujibebesha vitu vya kawaida.
Mbona hata huo watu wanaukemea Sana tu ka Uhuru wa watu kutoa maoni na hata vyombo vya habari
 
Mkuu mbona Mimi napinga uzalilishaji wa aina yoyote tu ule nikiuona maana kina Dr mpango nao waliitwa wapumbavu, I do believe mheshimiwa alipitiwa tu ulimi
Mkapa nae aliwaita watu
MALOFA NA WAPUMBAVU
Je naye alipitiwa ?
Kama alipitiwa basi na chadema walipitiwa.
 
FB_IMG_1596659641494.jpg
 
Usichefuke ndugu, ndiyo maana hata Rais mstaafu alivofariki, tangazo la kifo chake wimbo huu haukuimbwa. Lakini hata ccm walishaimba na kuunga kipengele cha kumbariki Magufuli
Sawa hatuna umiriki nao,
Lakini tutumie busara Basi,huu wimbo unaheshima yake hapa bongo,unaimbwa bungeni,Ikulu,mashureni hata kwenye matamasha ya kimataifa,huu wimbo ni Kama Sala kwetu,
Tukienda kushiriki kombe la dunia,huu wimbo unapigwa,sasa Chadema msijifanye mna akili sana,kuriko watz wote,hata Kama hakuna Sheria inayoulinda,msiuchezee,mfano mkichukua madaraka mnaweza kuongeza ubeti wa kichaga,kinyiramba,kisukuma,kimakuwa kwenye huu wimbo?
Acheni Kiki za kitoto,yaani mmenichefua sana,
 
Mkuu kufanyia remix wimbo unaoupenda haijawahi kuwa kosa sana sana unaomba ruhusa ya anaeumiliki.Sasa Kama Chadema wameufanyia remix na mmiki wake amekasirika basi aende mahakamani
Kweli wewe hujijui
 
Back
Top Bottom