Wimbo wa Taifa hatuna hati miliki kwa sababu tume "copy" toka ANC, na haupo kwenye Sheria na Katiba yetu. Tumeazima

wakati mwingine huwa nahisi siasa ni u.pu.mbavu kwelikweli; by the way, ningekuwa na mamlaka ningelimshikisha adabu mtu anaechezea vitu muhimu kama wimbo wa taifa!
 
CCM ndio imetufikisha hapa .. Kama nyimbo ya taifa tu wameshindwa kutunga ndio wataweza kuiletea nchi hii maendeleo !?
Mbona wameweza.

Flyover ya Ubungo
Flyover ya TAZARA
upanuzi wa barabara ya Kimara hadi Kibaha
Upanuzi wa bagamoyo road.
Unataka nini tena

Ccm oyeeeeeeee
 
Edit halafu nenda kauimbe huo uliouedit kituo chchte cha polisi tuone kama utatoboa.
 
Nilichogundua hapa ni kuwa, kuna mambo mengi Tz tunayafanya ya kiserikali lakini kiuhalisia yako kienyeji sana.
Yaani tunaimbishwa wimbo wa taifa ambao hatuna hati miliki yake na wala haulindwi na sheria.
Ndio maana tumekuwa tukisema kuwa Tundu Lissu ni binadamu mwenye akili hatua moja mbele ya watu wengi.
Hilo jambo la kutambuliwa kisheria wimbo wetu wa taifa alisha lisema bungeni na serikali hii iliyo lala usingizi hata haijagutuka.

 
Kinachonishangaza huyu msajili was vyama anaitwa jaji!! Hajui hata Jambo Hili Kama kisheria hatuna umiliki wakutosha kumzuia mtu mwingne kuutumia?? Hivii Hawa sheria walizisomea vyuo gani?? Lissu aliwahi kuwaambia Bungeni kuwa Wimbo wa Taifa sio sehemu ya Nembo ya Taifa kwasababu hautambuliki kisheria. Wapuuzi wakamuona Lissu hajui haya Sasa nendeni mahakani😀😀
 
Nchi za wenzetu wanaamini uhuru wa vyombo vya habari , uhuru wa kuandamana, uhuru wa kuongea, uhuru wa kuchagua viongozi wanaowataka, mbona serikali ya Mutungi haiyaongelei hayo kama yanavyokiukwa na wao wenyewe ?
Sasa ni nchi za wenzetu kule wamepigia hatua za kimaendeleo, wanaheshimu haki za binadamu Ila Napo huwezi kuta wanachezea wimbo wa taifa kunakuwa na limit
 
Naona wanarudi kwenye siasa zao za fujo wakidhan wanajenga kumbe wanajibomoa
Siasa nyingine hazifai hasa kwa uelewa wa watanzania wengi. Wanahitaji kuwa smart na kuepusha Mambo yasiyo na kichwa Wala miguu, too much mihemko. Wakidhibitiwa wataanza kulia Lia, maana Wana force serikali itumie nguvu, na wao ndo wanaoumia
 
Siasa nyingine hazifai hasa kwa uelewa wa watanzania wengi. Wanahitaji kuwa smart na kuepusha Mambo yasiyo na kichwa Wala miguu, too much mihemko. Wakidhibitiwa wataanza kulia Lia, maana Wana force serikali itumie nguvu, na wao ndo wanaoumia
Huwa sikuoni ukikemea Kiongozi mkuu wa nchi anapowadharirisha wanawake , sijui ndio mahaba au ni kutokutambua nguvu zielekezwe wap?
 
Back
Top Bottom