Wimbo wa Sukari wa Zuchu umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
IMG_20240324_111446.jpg

Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa.

Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube.

Na pia anaingia kwenye orodha ya wasanii wakubwa Africa wenye video zenye watazamaji wengi.
 
Eti nimemlambisha ananambia chombezaa (chombeza)
Tena nikiizidisha ananambia kolezaa (koleza)
Nikitaka kusitisha ananambia ongezaa (ongeza)
Japo imethibitishwa ila itampoteeza a
Ikipanda ni bala (naogopa)
Ikishuka ndo hatari (naogopa)
Asije pata madhalaa (naogopa)
Akaikosa na hali (naogopa)
Ladha yake msalaa (naogopa)
Shira ya kizanzibar (naogopa)
Nami simpii mi wala
Akitaka nampa

Zuchu alijua kucheza na tafsida kwenye hii Ngoma yake...anakuambia
"Ujibusti na karangaa,
Tuliza na kitumbuaa,"
Hahahaa huwa napenda kuisikiliza kwa sababu ya hivyo vimisemo vyake.
 
Hizi rekodi mnazilazimisha kishenzi,you may as well as spit on it first.Ohh sijui solo artist kaimba Kwa mapana,yaani viewers ni upuuzi unaoweza nunua.Tunataka ma Grammiess.
 
Pole kwa roho mbaya, sio kosa lako ni hali yako ya kimaisha inakufanya uwe na roho mbaya. Zuchu ashafikisha views million 100 wengine tumeamua kupongeza kwa sababu ni step ambayo sio rahisi, wewe ulieamua kuumia pia upo sahihi sababu unaugua roho mbaya.
 
View attachment 2943283

Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa.

Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube.

Na pia anaingia kwenye orodha ya wasanii wakubwa Africa wenye video zenye watazamaji wengi.
Ndo nani huko thed weld?
 
Pole kwa roho mbaya, sio kosa lako ni hali yako ya kimaisha inakufanya uwe na roho mbaya. Zuchu ashafikisha views million 100 wengine tumeamua kupongeza kwa sababu ni step ambayo sio rahisi, wewe ulieamua kuumia pia upo sahihi sababu unaugua roho mbaya.
Mlolongo amelike
 
Hizi rekodi mnazilazimisha kishenzi,you may as well as spit on it first.Ohh sijui solo artist kaimba Kwa mapana,yaani viewers ni upuuzi unaoweza nunua.Tunataka ma Grammiess.
Hapo kuna mtonyo mkuu the way unapopata viewers nyingi ndipo mtonyo unaongezeka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom