Mangi usiombee,,, ni vitu vidogo sana but, y udokoe,,, tena vya wanao.....wapime mafuta tuu ruwa mangi....
Yaani ningekuwa maishani nimepata mume wa hivi ! Mbona ningepasuka sijui? maana na dhiki zangu hizi zimejaa Fuso zima na nusu, bado niko na afya au sijui uchinenee!
yaani mume ananisomeshea ndugu zangu? ananunua chakula? kwanza naona nitakuwa najifinya kwanza kucheki kama nikweli yamenitokea.
Kama ni bahati basi mie sina.
Au labda ndio maisha yanavyopaswa yawe.
Nilipata ha deal na chochote, hata umeme nisiponunua nawakuta mara nyingi tu wako gizani anasema tumsubiri mama! kah!
Mara chungu tele i was the one furnishing the house groceries.. maana nilifunzwa na kuzoea kuwa ni ukosefu wa busara mtu mzima kurudi nyumbani toka kazini umening'iniza pochi /briefcase/mikono mitupu lakini nikaja kujua kumbe kwa wengine hiyo ni sehemu ya utaratibu tu kama ilivyo kwa upataji hewa- unakinga pua na hewa inaingia. Mtu anarudi mkavuuu anakaa kochini kusubiri huduma ya chai ya jioni na mengineyo hadi maji ya kuoga mkaaavuuuuu ! Hata kijimkate tu cha kuzugia!
Kumwambia anasema unamsimanga. Kusema nje unaogopa siri za ndani basi mnakaa tu na kwa mazoea , mmoja ana enjoy mwingine anagugumia.
Pole sana Mkuu manusura wa hii kitu na naamini mtasaidika either kutoka kwa Mungu pekee au akitumia na wanadamu pamwe na busara zenu kujua kipi chema baada ya hii episode. Tukisema sana tutaambiwa waVyuoVikuu but kaah!
Poleni sana nyote maana mmoja ana stress ya kuibiwa for so long , mwingine ana stress ya kutoamini kuwa NYONGO-MKALIA-INI kamlaza lokapu!
mule mule kaka,,,, maranguuu....kaka mtihani mkubwa sana....sema tuu kaka,,, naweza pona...
afu wewe!!!! Hizi ndizo mi huita choko choko! Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Area c kwema???haaa mandawanamanenge apo ebu nijuze, na chakula cha usiku mnapeana kiroho safeey?
miss chagga,, let me tell u this,,,, am simple man.....napenda family zote, tena hasa..... but kuna wakati mnatakiwa kuwa kitu kimoja baba+mama na watoto only,,,,, hapo ndo ishu,,, hivi nnavyokwambia,,, kaka yake alimtoa juzi kaja home kakusanya kila kinachomhusu,,, off she....nilimpigia mama mkwe,,, coz baba mkwe passed away....nikamwambia mke wangu hayupo na sijui alipo......jana kaka mtu akanipigia tena kwa kebehi,,, mkeo kahamia nyumba yake...full stop...i close the deal......akijiskia kurudi arudi......aibu inamsuta....but wewe ni mchagga i gues....mke wa kichagga akilala nje bila taarifa rasmi inakuwaje.....desturi zina mikondo yake.....hata kama ni kwa kakake.....sijitetei ila nataka ujaribu kuingia in deep......then sema kitu... najua mawe ni mengi mno....ila hayana shabaha...
afu wewe!!!! Hizi ndizo mi huita choko choko! Khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Area c kwema???
MWANAMKE ANAIBAJEEEEEEEEE???? :A S-confused1::A S-confused1:
mke akilala nje ni kosa kubwa kama umemfukuza hapo unabidi utoe mbuzi kwenda kumchukua hiyo ni kama faini..... alivyoondoka bila taarifa si mkeo tena ni kosa lingine hapo inabidi akitaka kurudi kunataratibu za kufuata....... pole sana aisee ndoa kichefu chefu ndoa ni mtihani usiokuwa na majibu... ndoa ni kuzimu ya duniani ....
Sishabikii alichokifanya,..ila kuna wakati wanawake wanakera sana,..usipo angalia unaweza ukageuzwa punda,at the end unakufa mapema kwa majukumu yasiyo na idadi,...familia kwanza wengine baadae!Suala dogo kama hili linakushinda hata unamlaza mkeo polisi akiliwa na maafande utasema hakupendi,pumbavu kabisa na inaonyesha usivyo mpenda kwanini usizungumze nae na ujue namna ya kumsaidia kuhudumia wadogo zake.
Mimi ni mwanaume kama wewe ila umenikera sana ungekuwa jirani ningekunyuka makofi kabisa.Wewe ni kiongozi wa familia mwite mkeo kaa nae chini kwa upendo ujue namna ya kumsaidia na sio kukimbilia JF
Say what? Kahamia nyumba yake?
miss chagga umeolewa?
wewe ndio mchoyo kama yule mwanamke...mxuuuu*10000uchoyo huo....mxuuuu
Umeongea point saana,hakika you are the great thinker...kula Like*1000000......00000.....0000hapa ndipo unapotimia ule usemi maarufu wa "mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"
NIna mashaka na UHAI wa ndoa hii kwa maana ya romance, communication, upole, kiasi na kuheshimiana.
Baada ya kusema hayo niseme tu kuwa there is absolutely no JUSTIFICATION kwa mke kufanya aliyoyafanya....inawezekana jamaa amechukua extremely hard measures, lakini kitendo cha kuiba chakula nyumbani tena cha watoto wake na mumewe na kuwapelekea ndugu ni cha fedheha sana.
Ni mwanamke mpumbavu tu anayeweza kufanya hayo. Kongosho ninakubaliana na msimamo wako, ila naona wengine wanamlaumu mleta mada kwa alichokifanya kwa kusingizia sijui ni mchoyo and the like...mi nasema kwamba mtu unamwoa mkeo na sio, literally, ukoo mzima, japokuwa practically inaweza kubidi kusaidia ndugu hapa na pale. I wapi kauli ya kwamba "huyu ataachana na baba na mama yake, naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja?" Hapo inaonekana bado wanalazimishwa tu kubaki na baba na mama zao!
Jamaa kafanya wema kawasomesha kote huko, they are supposed kutafuta kazi au walau waonyeshe juhudi ili wasaidiwe, lakini kwa hali hii ni kwamba wamebweteka, na ninajua baadhi mnaosoma hii sredi mmebweteka.....grow up and fight kwa ajili ya maisha yenu.
Mkuu mkeo akishatoka, kama ametandikwa viboko 6 akifika nyumbani mwongezee 6 akawaonyeshe na kwao, kisha mrudishe sijui kitchen party and the like, halafu "muoe upya" kwa a candle dinner sehemu nzuri. Mkishakula tunda lay down your rules from there on...mshahara wake uuone, na wa kwako muonyeshe, mpange matumizi pamoja.hao ndugu waaambieni wajitegemee, hawawezi kuwa chini yenu milele....wajue tu kwamba u can no longer support them....hii kauli ya sijui kesho utapatwa na shida and the like usiikubali kabisa ndio chanzo cha unyonge wa wengi.