Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

MO11 hawa wanawake ni janga kila thread humu ndo hawa hawa waliosoma,hawafai kabisa tuwaogope kama ukoma
Hili linaweza lisiwe na uhusiano kabisa na swala la kusoma au kutosoma kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Nahisi utakua una roho ya ubinafsi,chuki na kutojiamini.Unapenda kufuatilia vitu vidogo,siamini kama mwanaume mzima unachunguza hadi chakula.Hao ndugu za mkeo unaowafukuza na kuwadhalilisha kisa chakula hujui kua ipo siku wanaweza kua msaada mkubwa Kwa wanao mbele ya safari.Ningekupa kisa flani cha kweli ila ngoja nikuache hujui ufanyalo.
 
sio mke huyo ni jambawazi......usimpeleke mahakamani, we mrudishe nyumbani af angilia je ameshajifunza au la, kama anaendelea kukwiba......peleka mahabusu...
 
MO11 hawa wanawake ni janga kila thread humu ndo hawa hawa waliosoma,hawafai kabisa tuwaogope kama ukoma

Hahahaha...acha bas mnazid kugeneralize
 
Last edited by a moderator:
Axee kama unaenda mahakamani naomba uende mahakama kuu kabixa, kesi yako ni kubwa mkuu
 
Duude wewe ni mchoyo sana.na siamini unavyosema mkeo hachangii chochote.ninaona mambo mawili hapa.1 umeamua kufurahisha baraza 2.uliyoandika ni mawazo sasa unaangalia comments ili ukafanye vitendo.hii dunia especially chakula,msaidie binadamu mwenzio pale utakapoweza.you never know kesho utakuwaje ,u never know watoto wako wataishije after you.Mkemee roho wa uchoyo ni mbaya sana
 
Chakula = maviii

Inaonekana mwanaume ana ghubuuuuuu na mbinafsi...usikute ndio maana mke hatoi senti tano

Pia kama dada mtu ndio mlezi wa ndugu zake ina maana mwanaume hakulijua hilo kabla ya ndoa???

Hapa kama hatunyweshwi chai ya tangawizi na asali basi kuna tatizo kubwa sana kati ya mke na mume hawa





Kwanza unaonekana unafatilia sana mambo ya jikoni!Una moyo mgumu sana duu Mimi nisingeweza kumuweka ndani shemeji Yangu tena sababu ya chakulaaaa ....hapo tatizo ni njaaa .mmh we kweli jasusi!
Ni wazi unatatizo kubwa na mkeo.

Unacho takiwa kufanya ni kukaa na mkeo chini na kumueleza ukweli kuwa na yeye aanze kuchangia na swala la kuwasaidia ndugu zake mnaweza kukaa chini na kuangalia jinsi ya kuwasaidia bila kuingia kwenye mikwaruzano.

Kama ndugu zake hawana kazi basi jitahidi muwatafutie kibarua na ni vyema mka kaa na mkeo mkajua jinsi ya kufanya!

Halafu ni wazi hili swala umeligeuza kama uadui ndio maana mkeo anafanya hivyo bila kukushirikisha!

Hebu jaribu kukaa na mkeo muongee kuhusu hili swala na uchukulie kama huo ni mzigo wako pia!
 
Mtoe Polisi arudi nyumbani na uumpe muda wa kujirekebisha,Kama ndio tabia yake itakoma la ikiwa amerudia tena basi fasta fanya uwamuzi mgumu
 
Pamoja na kuwa na elimu lakini bado akatenda yasiyofanana na alichofunzwa na wakufunzi waliobobea katika kufunza.

Hii ni tabia ya asili kwa baadhi ya wanawake ama vipi?
 
mpe mda usiojulikana akakae kwa wadogo zake sehemu aliyowapangisha.... then akijirudi mkaribishe.... ila isiwe siku mbili eti amejirekebisha
 
Chakula = maviii

Inaonekana mwanaume ana ghubuuuuuu na mbinafsi...usikute ndio maana mke hatoi senti tano

Pia kama dada mtu ndio mlezi wa ndugu zake ina maana mwanaume hakulijua hilo kabla ya ndoa???

Hapa kama hatunyweshwi chai ya tangawizi na asali basi kuna tatizo kubwa sana kati ya mke na mume hawa

Kila ninapo soma hii habari nazidi kugundua hii ndoa ina tatizo sana!
 
Huyo hana mapenz na familia yk na mvivu wa kufikiri na yote hayo kwa vl hatoi pesa zake anajua mahitaj utaleta badilika mrudishe nyumban kama kweli anakuhitaj atajirekebisha ila na ww mbane atoe bajet ili ajue gharama za nyumbani pole sana hayo ni mazito
 
nosspass Kiukweli Huyo mwanamke anatudharaulisha na wengine ni aibu sana kwa ke kuwa na sifa ya wizi.
Pili hana uchungu na hivo vitu kwa kuwa hachangii chochote.
Tatu niwe mkweli tu huyo mwanamke hana mapenzi ya dhati na wewe yupo hapo kwa ajili ya kuchuma tu.
USHAURI;kama mtayamaliza fresh na akarudi home mgawane majukumu na yeye si ana mshahara?achangie na ikiwezekana MPE jukumu la kununua hivo vyakula uone jinsi atakavyokuwa na uchungu navyo!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom