Dah POLE SANA MDAU, yaani nimekuelewa sanaaaa. Manake hata mimi nipo kwenye situation kama yako. Tatizo kubwa la wanawake hawa ni uselfish. Anafanya kazi chake ni chake, matumizi yake saloon, nguo za kitchen party, harusi, vocha, sijui........ Baba ndo unatoa kila kitu hadi hela ya chumvi unaombwa. Hata mimi nina shida kama hiyo mkuu, ingawa mke wangu hapeleki kwa ndugu zake kwa kuwa wanauwezo tu, lakini mwanamke hatoi kitu chochote kuanzia chakula, bill zote, ada za watoto, ni mimi tu hachangii hata senti. Bado kuna mambo ya maendeleo tunatakiwa kufanya. Kichwa kinauma mzee. Tuna mgogoro mkubwa sana na vikao vya familia kwa wazee, lakini anasema yeye siyo majukumu yake. Na kitu kikipungua home anaanzisha mtiti balaa anatangaza hadi kwa watu. Yaani ni shida sana hadi wakati mwingine mtu unaamua kushinda BAR kula monde tu, manake ukiangalia watoto roho ndo inauma sana. Mimi nilishafikiria hata kupiga chini mzigo, lakini watoto nawaonea huruma sana. Nadhani hawa wanawake wa kichagga ni shida kubwa sana. Watatuua wanaume wote, na ndo mana wengi wanabaki wajane waume zao wameshatangulia mbele za haki sababu ya haya mambo. yanakera sana. Dilema!!