nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,815
- 4,791
- Thread starter
- #21
nimekupata mkuu,,, tambua nimewasomesha shemeji zangu wawili mmoja mpaka chuo, hawataki kutafuta kazi, na dadao anawadekeza,,,, kwa maelezo yake anaweza kuwatunza milele....so...tumefika hapo,, na ningekuwa na roho mbaya hata kwangu wasingekaa muda wote,,,,,,Mkuu jaribu kuwa na moyo wq kutoa, yote hayo ni kuifanya dunia sehemu nzuri ya kuishi...
Hao shemeji zako wana hali mbaya, kama wangekua wanajitosheleza kamwe usingewaona kwako, zaidi sana wangekuja kusalimia tu...
Usiwe na roho ya chuki, it's a world where we know nothing even the next second, hujui kesho yatakukuta nini, they so say "kufa kufaana"...
Watoe lock up hao wapendwa, sambaza upendo mkuu...