nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,815
- 4,791
- Thread starter
- #41
ndugu zake nimewatunza mpaka wamefika chuo,,, kwa pesa yangu bila tatizo lolote mangi.... ningekuwa siwapendi wangeondoka longi,,,, kwa nn aibe nyumbani,,,, kwa ukaribu ni simple,,,,,sivyo udhaniavyo mamngiKosa kubwa ni kumzuia mwanamke kusaidia ndugu zake.
Ebu kaa naye uongee naye wewe hadi polisi kwajili ya mchele na vitunguu!!!!!!????