kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,143
Salamu wakuu na poleni na majukumu
Bila kupoteza muda kuna mdau anaomba ushauri
Ipo hv kijana alianza maisha DSM akabahatika kuanzisha mahusiano na binti mmoja japo hawakuwahi kuishi wote wawili ila alimpa ujauzito na binti alienda kwao na kuendelea kulea mimba (pekee yake)
Na muda ulipita na jamaa huku akaanzisha uhusiano mwingine na mwanamke mwingine(single mother wa mtoto mmoja) ambaye alikuwa analelewa na baba wa huyo mwanamke, uhusiano wao ukakuwa wakaanza kuishi pamoja, maana jamaa alikuwa anakaa kwa ndugu na mwanamke kwa mzazi wake(baba maana mama alishafariki) walikaa miaka kama 8(bila ndowa) na walipata watoto wawili wa kiume na wa kike,
Yule mwanamke wa kwanza alijifungua naye alipata mume na kuolewa na kupata mtoto wa kiume kwaiyo akawa na wawili( wote wanaume)
Jamaa anazidi kusimulia mwanamke aliekuwa anaishi naye alikuwa mpenda starehe pombe,club na ilifika kipindi wakashindwana na kuachana na kipindi hicho bado mawasiliano yalikuwa yanaendelea baina ya jamaa na yule mwanamke wa mwanzo kbs,
Baada ya kuachana jamaa alijikuta amedata (pombe kali,bangi) hafanyi kazi mwili ukadhihifu, adi ikapelekea kupelekwa sobber kama mara 2 hv
Kuifupisha stori jamaa akawa anaendelea na mawasiliano na yule mwanamke alieolewa (baada ya kutoka sobber) na akawa amekaa sawa kazi akapata akaanzisha tena uhusiano mwingine na mwanamke ambaye alimkuta ni single mother na jamaa akaona isiwe kesi akaishi nae na kumlea yule mtoto,
Sasa mawasiliano yakaendelea na yule mwanamke wa mwanzo kiasi ya kwamba mwanamke akawa anamshirikisha changamoto wanazopitia kwenye ndoa yake na wakawa wakikutana (lazima wakumbushiane)
Ikafika mahali mwanamke akachoka na migogoro ya ye na mume wake ikabidi aombe talaka(maana huyo mume wake alikuwa na mchepuko nnje na anamuhudumia) talaka akapewa wakagawana mali
Sasa baada ya kugawana mali huyo mwanamke wa mwanzo anataka arudishe na huyu jamaa na wafunge ndoa kbs,
Na jamaa ikumbukwe kwamba bado anaishi na mwanamke huyo mwingine na wameishi miaka miwili sasa na mwanamke anamtegemea jamaa japo hawajazaa bado
Ila ukimuuliza jamaa moyo wake anajibu ki ukweli anampenda yule mwanamke wake wa mwanzo na si huyu anayeishi naye
Swali ni je jamaa akivunja mahusiano na huyu anayeishi nae atakuwa amekosea na kwenda kuishi na yule aliyeanza nae mwanzo na kuzaa nae mtoto mmoja?
Ushauri wadau, mnisamehe sina uhandishi mzuri🙏