Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,658
Story ya upande moja hii.....inahitaji kubalansiwa
mkuu wanawake wasomi ni janga la ndoa,pole sana mkuu
Hadi sasa sijaona kosa la kusabibisha kutoa hii adhabu!
Huyu ni mke si mchumba.
Kaizer hi swtlo!! Kongosho big up.
nije kwenye mada husika, jaman tukubali tukatae wanawake wengi ni mizigo isiyo bebeka..............na sijui kwann huwa tunakuwa na negative perception kwenye maisha yetu. yaani kila kitu tumekisubject kwenye mwanaume/mume afanye.
ukiuguliwa na mama yako wewe binti mume/mwanaume akupe hela ya kuuguza asipokuapa ni kosa, ndg zako akusomeshee, kula akulishe na kukuvesha hivi sisi kama wnawake tunafanya kazi ili nini??
well basi mkubaliane kwenye approach nzuri ya kupewa, kwangu mie ningemwona huyu mkeo yuko fea kama usiku angekupa mambo yakuchanganye mwenyewe umpe wallet achukue apendazo, sasa unakuta mama mwenyewe gubu, heshima hana,hana paozi la kuombea msaada sasa alicho bakiwa nacho nikutapanya vya ndani mwake.
pesa ya mtu naiheshimu kuliko Ebola na siipendi wala hata kuitamani, naitaman sana hela yangu na nashukuru kwamba nina uhuru nayo.
tusipende kutukanisha koo zetu kwa kuonekana watu wa dhiki mpaka unyayoni, hatuna jema duniani hapa.
Bila shaka umeoa mwanamke mpumbavu. Pole sana ndugu
Kila ninapo soma hii habari nazidi kugundua hii ndoa ina tatizo sana!
Mimi sina la kuongeza zaidi na ukifuatilia mikasa ya wanandoa huwezi kuoa wala kuolewa.
Mkuu jaribu kuwa na moyo wq kutoa, yote hayo ni kuifanya dunia sehemu nzuri ya kuishi...
Hao shemeji zako wana hali mbaya, kama wangekua wanajitosheleza kamwe usingewaona kwako, zaidi sana wangekuja kusalimia tu...
Usiwe na roho ya chuki, it's a world where we know nothing even the next second, hujui kesho yatakukuta nini, they so say "kufa kufaana"...
Watoe lock up hao wapendwa, sambaza upendo mkuu...
Hiyo kulala ndani imetosha mkuu,Kaa naye sasa umpe last warning na ratiba mpya hapo home.
Igawanye budget ili naye awe na share ya kuchangia kidogo na umwambie awe Anatoa kiasi kwenye mshahara wake ku support nduguze kila mwezi.
Akiendelea basi ni sikio la kufa hilo!
yaani bestie ukitaka kushindwa kufanya lolote ktk maisha yako ni kuish ukipenda kusikiliza ushuhuda wa kushindwa kwenye maisha ya wengine.
mfano wewe unaona ukipata ushuhuda wa kushindwa wa wanandoa huwez kuish lkn ukasahau kwamba ukifuatilia mikasa ya familia zenye magonjwa basi huwez kuzaa kwa hofui kwamba ivi na wanangu ama mimi nikiugua hivi itakuwaje?
cha msingi kaka angu ishi maisha yako na changamoito kama hizi lazima ziwepo ilizifanyike kama funzo kwetu.
kimsingi mikasa tunayoisikia humu ni michache sana kuitumia kama sample size manake yale mazuri yaliyomo kwenye ndoa humu huwa hatuyaongelei.
Binafsi sijawah kujuta kuolewa wala mume wangu hajawah kujuta kunioa ingawa changamoto zipo na hizi hazitofautian na changamoto ambazo mtu anaweza kuzipata akiwa peke yake in terms of kwann zinakuwepo.
iko hivi mithan ya biology na kiswahili yote ni mitihan ingawa inapima uwezo tofauti wa kuelewa mambo tofauti. Napenda sana ndoa na changamoto zake na muhimu ni kujua wapi wewe personally umetumika vibaya na kurekebisha bila kutengenza scene, na wapi ambapo umekosewa (as unavyoamini) na urekebishe bila kutengenza scene.
ivi Matola kusingekuwa na changamoto kwenye ndoa wafikiri maisha yangekuwaje? si watu tungeish kwa jeuri sana mbele za Mungu?
Duh. Pole ndugu. Busara ya walezi wenu wa kiroho mnaihitaji sanando hao hao mkuu,,, jangaa mkuu...