Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

The causes are hidden but the result are known,kwa uelewa wangu duni ni kuwa masuala ya chakula na mambo ya polisi si uhalisia wa tatizo.Mleta mada hajafunguka kabisa chanzo cha matatizo lukuki aliokuwa nayo.
 
Acha kufikiria ujinga na upumbavu kila muda... Mwanaume akikwambia usiku mwema tu kuna shidaaaaa????? Hamna shida kama kaishia hapo tu.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ingekuwa poa sasa wanawake waishi peke yao na wanaume pia, sababu naona tabia za wanawake zinazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyo enda
 
hahaaa, kmbe na wewe chama moja, mna vituko lakini best! mimi nilishawaogopa asee, hata rafiki tu anataka kuwa na kibesi...gz!

wala hatuna vituko ...........mmekaririshwa tu kuwa sie wabaya sie wauaji lakini wala..............kuanzia nimekuwa sijawahi ona ndugu yangu aliyemuua mumewe ksbb ya mali.....wala kudhulumu sasa hizo story zenu sijui mwazitoa wapi................hebu mtuwache wapalestina wa watu bana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
The causes are hidden but the result are known,kwa uelewa wangu duni ni kuwa masuala ya chakula na mambo ya polisi si uhalisia wa tatizo.Mleta mada hajafunguka kabisa chanzo cha matatizo lukuki aliokuwa nayo.
Nakubaliana na wewe kwa 99%
 
Wandugu

Hili janga ni kubwa sana kwangu, nimekuwa na kawaida ya kununua mahitaji yote ya nyumbani kama baba na kiongozi wa familia kuna kipindi kulitokea mtafaruku kisa kikiwa shemeji zangu wamejaa kwangu, nikatangaza la mgambo sitaki cha shemeji wa wala wifi kwangu......wote wakatawanyika.

Bi mkubwa ilimuuma sana hakuwa na jinsi, kwani kama ni msaada niliwapa ikiwa ni kusoma na mambo mengine ya kuwasaidia, but aliwadekeza bila kujali kuwa niliyemuoa ni yeye pekee wamekaa kwangu kwa muda mrefu tuu.

Kwa hasira akawapangishia chumba, hata sijui ni wapi.

Bi mkubwa ana kazi yake nzuri tuu, but hachangiii chochote ndani ya nyumba, na wala kwangu sio tatizo kabisa, namshukuru Mola wanetu 2 wana afya njema sana na wana furaha.

Tatizo linalonisukuma kutaka ushauri hapa ni hii tabia aliyoanzisha bi mkubwa, anabeba vyakula ndani mwetu anapeleka kwa wadogo zake, niligundua kipindi fulani nikamkanya, akataharuki kwanza nimejuaje, akahamishia ugomvi kwa dada na kaka (wasaidizi wetu pale home), mpaka kaka aka resign.

Safari ikaendelea hakuacha hiyo tabia, tena imeota mizizi. Kila j3 hua anakuja na mdogo wake mmoja, anamfungashia furushi la mchele, sukari, mafuta ya kula, matunda na kila aina ya kitu apendacho.

Nikaweka mtego, kijana wangu mmoja ndo jasusi langu pale home, nimelifundisha likakomaa, kama zoba hivi, so bi mkubwa wala hana hofu nae ya kunitonya mie.

Siku ya siku nikajipanga na kijana wa kova, coz yule anaetoka na furushi kwangu namshuku ni mwizi, ile ametoka kwa gate, nilimwambia kijana afunge fasta ili bi mkubwa asijue nini kimetokea nje, ilikuwa mida ya saa nne usiku. Kabaaang, kanaswa binti, polisi fasta chini ya ulinzi, mie huyo nikaingia ndani kama sijui kunani.

Muda si mrefu akapigiwa simu aende kituoni, huko binti keshanaswa vitasa vya haja kasema kila kitu, aliogopa kuniomba nimsindikize, so akaenda na kaka, ile kafika na yeye chini ya ulinzi, walilala selo jana.

Asubuhi nikapitia, pale wakawa weshamumbia mie ndo niliwapa taarifa ya mchezo mzima, nikaomba waendelee kukaa pale, mchana kakayake akaenda kumtoa.

Ndugu zangu huyu mwanamke kalivuruga, kwa maelezo ya mdogo wake wameiba vitu vingi sana, hasa vya watoto, coz ana mdogo wake ana mtoto analingana na wa kwetu wa 1.

Kubwa nafikiria ni watoto wetu, najua wanaraha hata wakiwa na mimi, ila mama yao ni muhimu katika makuzi.

Hebu nipeni ushauri kidogo kabla sijaamua wa kwangu.

Hii kesi niipeleke mahakamani?
Kweli ni mdokozi, tena anakwiba vyakula vya wanawe, nitengane nae?
Anakazi yake nzuri, nikamshtaki kwa bosi wake?


Ongezeeni yatakayo nitoa hapa nilipo.

Karibuni

daah! kiongozi pole sana kwayote,
ila kwa sehemu umekosea kiongoz, najua ni hasira, kuhurusu mkeo kukaa ndani, kwa sababu yeye kapigiwa simu na ndugu yake kuwa yuko polisi, iweje polisi wamzuie na yeye kama jambazi aliyekuwa anatafutwa? najua uliset kwa sababu ya hasira, ila hapo ndo unachochea moto zaid kwa familia zote mbili

umewasomesha vyema, ilikuwa ni wakati muafaka wa wewe kukaa kifamilia na kuwaeleza umechoshwa na hizo tabia sasa unahitaji kuitunza familia yako tu, na mengine utafanya kwa ziada sana, coz kwanini mzigo wa familia yake uhamie kwako na sioyo huyo kakake ambaye kamtoa polisi

ina maana wewe ndugu zako unawahudumia vipi sasa? nikionacho hapo pamoja na source nyingi sana lakn pia UBINADAMU haupo kwa mmoja wenu.

kwenda kumsemelea kwa boss wake ni kujidhalilisha wewe, coz hujui hata huyo boss wake wanaishije naye hapo kazin,
cha msingi maadamu wamemtoa, relax kwanza usifanya maamuz, subir uwasikie wao wanataka nini baada ya hilo tukio
pole lakn
 
Yaani ningekuwa maishani nimepata mume wa hivi ! Mbona ningepasuka sijui? maana na dhiki zangu hizi zimejaa Fuso zima na nusu, bado niko na afya au sijui uchinenee!
yaani mume ananisomeshea ndugu zangu? ananunua chakula? kwanza naona nitakuwa najifinya kwanza kucheki kama nikweli yamenitokea.
Kama ni bahati basi mie sina.
Au labda ndio maisha yanavyopaswa yawe.
Nilipata ha deal na chochote, hata umeme nisiponunua nawakuta mara nyingi tu wako gizani anasema tumsubiri mama! kah!

Mara chungu tele i was the one furnishing the house groceries.. maana nilifunzwa na kuzoea kuwa ni ukosefu wa busara mtu mzima kurudi nyumbani toka kazini umening'iniza pochi /briefcase/mikono mitupu lakini nikaja kujua kumbe kwa wengine hiyo ni sehemu ya utaratibu tu kama ilivyo kwa upataji hewa- unakinga pua na hewa inaingia. Mtu anarudi mkavuuu anakaa kochini kusubiri huduma ya chai ya jioni na mengineyo hadi maji ya kuoga mkaaavuuuuu ! Hata kijimkate tu cha kuzugia!
Kumwambia anasema unamsimanga. Kusema nje unaogopa siri za ndani basi mnakaa tu na kwa mazoea , mmoja ana enjoy mwingine anagugumia.

Pole sana Mkuu manusura wa hii kitu na naamini mtasaidika either kutoka kwa Mungu pekee au akitumia na wanadamu pamwe na busara zenu kujua kipi chema baada ya hii episode. Tukisema sana tutaambiwa waVyuoVikuu but kaah!
Poleni sana nyote maana mmoja ana stress ya kuibiwa for so long , mwingine ana stress ya kutoamini kuwa NYONGO-MKALIA-INI kamlaza lokapu!
 
Jamani CYBERTEQ usihukumu wanamigombani wote kwa visa vichache ulivyovisikia.........haya matatizo yapo katika kila kabila na sio wanamigombani tu lol..............

wa migombani kuna ukweli fulani juu yao katika hili....
 
atakua kajifunza,msamehe mkae chini muongee,madogo hayo yanaongeleka.kuna makubwa kaka,acha kabisa.nenda kamtoe ndani,ili usipandikize mbegu ya chuki ndani ya moyo wa mkeo.
 
be a man simama ulifanya kosa kukubali shemeji kuamia kwako at the begining lakin sasa usimwache kisa food aisee,... kaeni meza moja ukupe bajeti ya ndugu zake na ya hapo home ... aseme yeye tachangia kiasi gani na aache wizi
miss chagga,, let me tell u this,,,, am simple man.....napenda family zote, tena hasa..... but kuna wakati mnatakiwa kuwa kitu kimoja baba+mama na watoto only,,,,, hapo ndo ishu,,, hivi nnavyokwambia,,, kaka yake alimtoa juzi kaja home kakusanya kila kinachomhusu,,, off she....nilimpigia mama mkwe,,, coz baba mkwe passed away....nikamwambia mke wangu hayupo na sijui alipo......jana kaka mtu akanipigia tena kwa kebehi,,, mkeo kahamia nyumba yake...full stop...i close the deal......akijiskia kurudi arudi......aibu inamsuta....but wewe ni mchagga i gues....mke wa kichagga akilala nje bila taarifa rasmi inakuwaje.....desturi zina mikondo yake.....hata kama ni kwa kakake.....sijitetei ila nataka ujaribu kuingia in deep......then sema kitu... najua mawe ni mengi mno....ila hayana shabaha...
 
miss chagga,, let me tell u this,,,, am simple man.....napenda family zote, tena hasa..... but kuna wakati mnatakiwa kuwa kitu kimoja baba+mama na watoto only,,,,, hapo ndo ishu,,, hivi nnavyokwambia,,, kaka yake alimtoa juzi kaja home kakusanya kila kinachomhusu,,, off she....nilimpigia mama mkwe,,, coz baba mkwe passed away....nikamwambia mke wangu hayupo na sijui alipo......jana kaka mtu akanipigia tena kwa kebehi,,, mkeo kahamia nyumba yake...full stop...i close the deal......akijiskia kurudi arudi......aibu inamsuta....but wewe ni mchagga i gues....mke wa kichagga akilala nje bila taarifa rasmi inakuwaje.....desturi zina mikondo yake.....hata kama ni kwa kakake.....sijitetei ila nataka ujaribu kuingia in deep......then sema kitu... najua mawe ni mengi mno....ila hayana shabaha...

Say what? Kahamia nyumba yake?
 
i think so brother....

Unajua najaribubkuunganisha dots kumbe alikuwa anajenga wakati anakwepa majukumu hone afu kama haitoshi anaiba tena apo naona kafika kama mwisho ivi?
 
Kama uwezo upo saidia tu njaa haina baunsa.mambo za kupelekana polisi sababu ya chakula siyo kabisa.

Sio kila jambo upeleke polis mambo mengine ni ya kifamilia na yatamalizwa kwa vikao vya familia.

wewe unaonekana mkoloni inabidi tusikilize na upande wa pili.

Yani chakula tu ndio unafunga ndugu!
 
kesha toka na kahamia kwenye nyumba inayodaiwa ni yake......her brother told me that....
Inavyo onekana haukumtoa polisi,yaani mtu mwingine ndio kamtoa. Halafu hujui kama alikuwa na nyumba hii ni kwa mujibu wa maelezo yako,nionavyo mimi nyie wote mnamakosa.Kama kichwa cha familia unatakiwa ujue mkeo anafanya nini na umuongoze.kaeni wote chini muongee na myamalize
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom