Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

Mangi usiombee,,, ni vitu vidogo sana but, y udokoe,,, tena vya wanao.....wapime mafuta tuu ruwa mangi....

Mzee pole sana na huu mkasa. Naomba unijibu maswali yafuatayo kiukweli ili inisaidie katika kukupa ushauri

1. Je mahusiano ya mkeo na familia yako yakoje (Ndugu wa upande wako, wazazi na wengine)
2. Wewe uhusiano wako na ndugu wa upande wa mkeo , kabla ya tukio la kuwaondoa hapo kwako ilikuwaje?
3. Hapo kwako kuna ndugu zako wengine wanaishi? Au wewe unasaidia ndugu zako kwa kiasi gani? uki compare na mkeo?
4. Ki elimu wewe na mkeo mna level sawa? kama si sawa nani kamzidi mwenzie.
5. Ki mapato nani kamzidi mwenzie?
6. Familia zenu kimapato ipi iko juu na kwa kiasi gani?
7. Je mkeo kwao ndio mtoto mwenye mafanikio pekee? na je wewe kwenu ndio mtoto mwenye mafanikio pekee?

Asante naomba jibu bila kupotosha ili nijaribu kukupa ushauri kwani mzee waweza haribu ndoa na future ya wanao kwenye hili tukio.
 
Duuh...haya maisha kweli mviziano...

Mimi naamini haya yanazungumzika, japo yanaonyesha yanakukera. Mngekaa kama kamati mkatafuta namna ya kuwasaidia hao 'mashemeji' manake naona dada yao anachofanya ni kuwasaidia samaki badala ya nyavu. Kwa mtindo huu ataendelea kuwasaidia mpaka anaingia kaburini hao nduguze wabaki wakilia na mengi.

Labda tu huyo dada awe mama haambiliki...
 
Yaani ningekuwa maishani nimepata mume wa hivi ! Mbona ningepasuka sijui? maana na dhiki zangu hizi zimejaa Fuso zima na nusu, bado niko na afya au sijui uchinenee!
yaani mume ananisomeshea ndugu zangu? ananunua chakula? kwanza naona nitakuwa najifinya kwanza kucheki kama nikweli yamenitokea.
Kama ni bahati basi mie sina.
Au labda ndio maisha yanavyopaswa yawe.
Nilipata ha deal na chochote, hata umeme nisiponunua nawakuta mara nyingi tu wako gizani anasema tumsubiri mama! kah!

Mara chungu tele i was the one furnishing the house groceries.. maana nilifunzwa na kuzoea kuwa ni ukosefu wa busara mtu mzima kurudi nyumbani toka kazini umening'iniza pochi /briefcase/mikono mitupu lakini nikaja kujua kumbe kwa wengine hiyo ni sehemu ya utaratibu tu kama ilivyo kwa upataji hewa- unakinga pua na hewa inaingia. Mtu anarudi mkavuuu anakaa kochini kusubiri huduma ya chai ya jioni na mengineyo hadi maji ya kuoga mkaaavuuuuu ! Hata kijimkate tu cha kuzugia!
Kumwambia anasema unamsimanga. Kusema nje unaogopa siri za ndani basi mnakaa tu na kwa mazoea , mmoja ana enjoy mwingine anagugumia.

Pole sana Mkuu manusura wa hii kitu na naamini mtasaidika either kutoka kwa Mungu pekee au akitumia na wanadamu pamwe na busara zenu kujua kipi chema baada ya hii episode. Tukisema sana tutaambiwa waVyuoVikuu but kaah!
Poleni sana nyote maana mmoja ana stress ya kuibiwa for so long , mwingine ana stress ya kutoamini kuwa NYONGO-MKALIA-INI kamlaza lokapu!


haaa MandawaNaManenge apo ebu nijuze, na chakula cha usiku mnapeana kiroho safeey?
 
Last edited by a moderator:
Watu wa migombani bwana mwenyee mama yangu amewakataa katakata sasa yeye ananvyoniganda nashindwa hadi kupumua ndivyo walivyo hawa tena unabahati wanatoaga uhai wa watu
 
mie sio mchaga, ila najua kama ni mwanamke mwizi wa kichaga haibi water melons awape nduguze. Ana roho ya kimaskini tu huyo.
Ngoja nirudi kusoma comments zote then nitamshangaa huyu baba.
Ila wakati nasubiria, why umlaze mama wa wanao selo just becoz amegawa mchele na vitunguu kwa nduguze? huyu baba nae ana roho ya kimaskini!

Hivi ukimuambia mama watoto this is my budget kwa mwezi. Ikiisha laza wanao njaa. Haitawezekana?
mule mule kaka,,,, maranguuu....kaka mtihani mkubwa sana....sema tuu kaka,,, naweza pona...
 
miss chagga,, let me tell u this,,,, am simple man.....napenda family zote, tena hasa..... but kuna wakati mnatakiwa kuwa kitu kimoja baba+mama na watoto only,,,,, hapo ndo ishu,,, hivi nnavyokwambia,,, kaka yake alimtoa juzi kaja home kakusanya kila kinachomhusu,,, off she....nilimpigia mama mkwe,,, coz baba mkwe passed away....nikamwambia mke wangu hayupo na sijui alipo......jana kaka mtu akanipigia tena kwa kebehi,,, mkeo kahamia nyumba yake...full stop...i close the deal......akijiskia kurudi arudi......aibu inamsuta....but wewe ni mchagga i gues....mke wa kichagga akilala nje bila taarifa rasmi inakuwaje.....desturi zina mikondo yake.....hata kama ni kwa kakake.....sijitetei ila nataka ujaribu kuingia in deep......then sema kitu... najua mawe ni mengi mno....ila hayana shabaha...

mke akilala nje ni kosa kubwa kama umemfukuza hapo unabidi utoe mbuzi kwenda kumchukua hiyo ni kama faini..... alivyoondoka bila taarifa si mkeo tena ni kosa lingine hapo inabidi akitaka kurudi kunataratibu za kufuata....... pole sana aisee ndoa kichefu chefu ndoa ni mtihani usiokuwa na majibu... ndoa ni kuzimu ya duniani ....
 
Hivi unajua kwa nini wanaume wakiingia ndani ya ndoa wanakondeana asana,..sababu akisha oa anaoa wakwe,mashemeji kama jamaa ilivyomtokea hapo juu!,...pole sana mkuu!
 
mke akilala nje ni kosa kubwa kama umemfukuza hapo unabidi utoe mbuzi kwenda kumchukua hiyo ni kama faini..... alivyoondoka bila taarifa si mkeo tena ni kosa lingine hapo inabidi akitaka kurudi kunataratibu za kufuata....... pole sana aisee ndoa kichefu chefu ndoa ni mtihani usiokuwa na majibu... ndoa ni kuzimu ya duniani ....

miss chagga umeolewa?
 
Last edited by a moderator:
Suala dogo kama hili linakushinda hata unamlaza mkeo polisi akiliwa na maafande utasema hakupendi,pumbavu kabisa na inaonyesha usivyo mpenda kwanini usizungumze nae na ujue namna ya kumsaidia kuhudumia wadogo zake.

Mimi ni mwanaume kama wewe ila umenikera sana ungekuwa jirani ningekunyuka makofi kabisa.Wewe ni kiongozi wa familia mwite mkeo kaa nae chini kwa upendo ujue namna ya kumsaidia na sio kukimbilia JF
Sishabikii alichokifanya,..ila kuna wakati wanawake wanakera sana,..usipo angalia unaweza ukageuzwa punda,at the end unakufa mapema kwa majukumu yasiyo na idadi,...familia kwanza wengine baadae!
 
hapa ndipo unapotimia ule usemi maarufu wa "mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe"


NIna mashaka na UHAI wa ndoa hii kwa maana ya romance, communication, upole, kiasi na kuheshimiana.

Baada ya kusema hayo niseme tu kuwa there is absolutely no JUSTIFICATION kwa mke kufanya aliyoyafanya....inawezekana jamaa amechukua extremely hard measures, lakini kitendo cha kuiba chakula nyumbani tena cha watoto wake na mumewe na kuwapelekea ndugu ni cha fedheha sana.

Ni mwanamke mpumbavu tu anayeweza kufanya hayo. Kongosho ninakubaliana na msimamo wako, ila naona wengine wanamlaumu mleta mada kwa alichokifanya kwa kusingizia sijui ni mchoyo and the like...mi nasema kwamba mtu unamwoa mkeo na sio, literally, ukoo mzima, japokuwa practically inaweza kubidi kusaidia ndugu hapa na pale. I wapi kauli ya kwamba "huyu ataachana na baba na mama yake, naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja?" Hapo inaonekana bado wanalazimishwa tu kubaki na baba na mama zao!

Jamaa kafanya wema kawasomesha kote huko, they are supposed kutafuta kazi au walau waonyeshe juhudi ili wasaidiwe, lakini kwa hali hii ni kwamba wamebweteka, na ninajua baadhi mnaosoma hii sredi mmebweteka.....grow up and fight kwa ajili ya maisha yenu.

Mkuu mkeo akishatoka, kama ametandikwa viboko 6 akifika nyumbani mwongezee 6 akawaonyeshe na kwao, kisha mrudishe sijui kitchen party and the like, halafu "muoe upya" kwa a candle dinner sehemu nzuri. Mkishakula tunda lay down your rules from there on...mshahara wake uuone, na wa kwako muonyeshe, mpange matumizi pamoja.hao ndugu waaambieni wajitegemee, hawawezi kuwa chini yenu milele....wajue tu kwamba u can no longer support them....hii kauli ya sijui kesho utapatwa na shida and the like usiikubali kabisa ndio chanzo cha unyonge wa wengi.
Umeongea point saana,hakika you are the great thinker...kula Like*1000000......00000.....0000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom