Wicknell Chivayo alikuwa wapi enzi za Magufuli?

Wicknell Chivayo alikuwa wapi enzi za Magufuli?

Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
Panya walikuwa wamejificha shimoni hadi paka alivyoondoka sasa ndio wanatoka ndani ya shimo wanakula mahindi yaliyohifadhiwa stoo na mbaya zaidi wanakunya huko huko
 
Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
Huyo jamaa ni mwizi , tapeli anajifanya mwekezaji
Ukweli ni kwamba ndo anawasaidia viongozi wengi wa EAST AFRICA kuingia madarakani hadi ballot paper huwa anachapisha yeye.
So awamu hii kwa vile sio wazalendo wanajali matumbo yao ndo hivo ngoja nchi iuzwe bana
 
Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
VIONGOXI WAISLAMU WA TANZANIA NI UCHAFU MKUBWA SANA ..NIKOSA KUBWA SANA KAMA TAIFA KUWAPA UONGOZI WAISLAMU HASWA WANAO AMINI KATIKA UISLAMU SIYO WAISLAMU MAJINA...HAWA WAISLAMU MAJINA SIYO TATIZO.
 
Huyu jamaa ni tapeli haswa na ameishaoamatwa kwa utakatishaji wa fedha
Ni mtu wa anasa sana na mpenda madem, na mpenda magari ya kifahari na kuingilana na wanyonge anaowapata
Kwa mjomba picha zisingeenda
Kwa mwili ule na mademu utamsingizia tu....atawafanya nini na unene wote ule?? Sema jamaa ni mtu wa deals kweli kweli na anajua kucheza na sheria za nchi....ukute ndo master wa kusimamia masuala ya pesa na ma deals ya viongozi kama alivo Abromovic kule Russia.
 
Kwa akili za Magufuli angeweza hata kumkamata iwapo angeingia kwenye 18 zake. Singasinga na Rugemalila hawatokuja kumsahau Mgufuli maisha yao yote.
Tena watu wake Magu wangemfanya kama wale mawakili wa jirani 😂
Kwa mwili ule na mademu utamsingizia tu....atawafanya nini na unene wote ule?? Sema jamaa ni mtu wa deals kweli kweli na anajua kucheza na sheria za nchi....ukute ndo master wa kusimamia masuala ya pesa na ma deals ya viongozi kama alivo Abromovic kule Russia.
ana makampuni yake kwa mfano Intratrect
Kapiga hela nyingi sana kwenye tenda za serikali ya Zimbabwe
Dili moja tu alipiga US$172m
 
Back
Top Bottom