Wicknell Chivayo alikuwa wapi enzi za Magufuli?

Wicknell Chivayo alikuwa wapi enzi za Magufuli?

Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla? alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
Kuna siku mjombako alisema hivi, "Kuna kikundi cha watu wachache wanataka kunipangia cha kufanya, Mimi nawaambia sipangiwi, Mimi ni Rais jiwe kweri kweri"

Sikumbuki ilikuwa kwenye inshu Gani alipotoa kauli hiyo, na sijui kama inahusiana na unachouliza.
 
Huyu jamaa ni tapeli haswa na ameishaoamatwa kwa utakatishaji wa fedha
Ni mtu wa anasa sana na mpenda madem, na mpenda magari ya kifahari na kuingilana na wanyonge anaowapata
Kwa mjomba picha zisingeenda
 
Back
Top Bottom