Wicknell Chivayo alikuwa wapi enzi za Magufuli?

Niko serious
Kwa anayejua anisaidie majibu
Kisheria ya dini yetu ya kiislam hauruhusiwi kumuoa mtu wa dini tofauti. Hivyo kama ulioa mkristo au mpagani na wewe ni muislam hapo ndoa kidini haipo.
Labda kama umeamua kutokufuata dini.
Hivyo haiwezekani uwe muislam mkeo akasali kanisani kwasababu tangu mwanzo hakuna ndoa ya dini mbili kiislam.
 
Unafahamu dini ya mke wa Kasimu?
Ukishajua unijibu kama yeye ni Muislamu au sio.
 
Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
Kupitia kurasa zake mtandaoni, Rais Samia meandika;
Kwa niaba ya Serikali na wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, natoa salamu zetu za dhati za rambirambi kwa familia za wale wote waliopoteza wapendwa wao pamoja na wananchi
Nimefarijika sana kwa maneno haya, ya rais wetu kuwafariji wafiwa kufuatia kifo cha bonge, ila ningefarijika zaidi, kama Rais wetu, pia angetoa statment yenye maneno ya faraja kama haya, kwenye lile tukio letu lile!.

Mimi nilimuanzishia nyuzi mbili humu
1. Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?
2. Kumbe Bonge wa Zimbabwe ni Mtu wa Pisi Kali. Licha ya Kuonekana Tipwa Tipwa, ni Mtu wa Kazi na Anapiga Kazi Kweli Kweli kwenye mambo yetu yale

Japo huyu Bonge, hakuwa Mtanzania, lakini alikuwa rafiki kipenzi na mtu wetu, rafiki na mtu wetu ni rafiki yetu, mtu wetu akifiwa na rafiki yake ni sisi tumefiwa na rafiki yetu!.

Nichukue fursa hii kutoa pole kwa mtu wetu,
Watanzania Tunamlilia!

Rip Bonge za Zimba

Mzee Pasco.
 
Chivayo kajua kutuliza Watanganyika
 
Paskali leo umeamka na Akili zako halisi 😀
 
JPM ndio kasababisha nini we HANITHI !? Mbona JPM huyo huyo kamchagua Paul Makonda je Makonda alifanya nini?! Au nikutajie teuzi za JPM za kikristo ambazo zilifanya ujinga uongozini!??
Muislamu anatukana watu?
 
Mkewe ni Mkatoliki safi
Hilo silijui ila kisheria ya dini hakuna ndoa za dini mbili kiislam. Labda kama mtu uamue kuishi kimisingi yako nje ya uislam. Mbona wapo waislam wanakula nguruwe? Ila kidini hairuhusiwi.
 
Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
Enzi hizi alikuwa ananyonya pate nguvu ya aliyoyafanya hivi karibuni kabla ya mwisho wa mwisho wake!
 
Back
Top Bottom