Mchango wa Sir Wicknell chivayo mzimbabwe kwa ccm

Mchango wa Sir Wicknell chivayo mzimbabwe kwa ccm

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,474
Reaction score
4,007
Huyu marehemu Sir Wicknell chivayo mzimbabwe tajiri alitoa mchango mkubwa wa siri kwa ccm. Mchango wake kukichangia chama cha ccm kwa ajili ya kampeni nitauelezea hapa mshangae ni milioni za dola, hii imekuwa siri kubwa sana na wamefanya siri. Usishangae salamu za rambi rambi zikatolewa na wakasema ni kwa niaba ya watanzania wote msishangae huo ni ukweli kwamba alipotoa mchango walimwambia watanzania wanampenda na wamepokea mchango wake kwa ajili ya kampeni. Pia alikuwa amepanga kumchangia Rais Ruto wa Kenya. ITAENDELEA...
 
Back
Top Bottom