Candid Scope,
Mbona unaongea kwa uhakika sana kama vile kwamba hao jamaa wa Peramiho hawawezi kuhusika? Unajua kashfa ya benki ya Vatican miaka ya 1970-80 ambapo kuna watu walijinyoga (sehemu ya scandal hiyo imo katika sinema za Godfather). Sijui kwa nini unaona hao watu hawawezi kufanya uhalifu. Pia unaweza kusoma kitabu cha "In the Name of God" cha David Yallop kuhusu kifo cha Pope John Paul I. Hivyo stori hii ya Mwaikusa huwezi kui-dismiss tu ati kwa vile wamisionari wa Peramiho walijenga shule, hospitali, vyuo, etc. Udhaifu kwa stori ya Raia Mwema inawezekana kuwa hawana uthibitisho wa kutosha tu na au hawaku-research kwa undani, kwani kwa Mwaikusa kun "conspiracy theories" nyingi tu.