Who is your best JF member of all time?

Who is your best JF member of all time?

haszu He’s confidently stupid and handsome that I can’t even hate him,I admire the confidence.

Anaweza kuingia humu akapost the gayish sh*t ever, nyie mkawa busy mnampika kwa kila neno la kukera yeye kimya hajibu like a boss..

Nafikiri kila mtu angekua anaji feel handsome(kujikubali)angalau nusu ya huyu self proclaimed handsome drama nyingi zisingekuepo humu.

social drama nyingi zinaletwa na insecurity disguised as EGO,Wivu,,Mashindano or the need for validation..

Kama watu wangejipenda na kujikubali kama haszu kusingekua na kuitana Uglies,kujilinganisha na wengine,to seek approval from strangers,au kuwashusha wengine to feel superior,..

Dah😂😂😂.

Nafikiri kila mtu angekua anaji feel handsome(kujikubali)
Kujifeel handsome ndio Kujikubali ? 😎😎😎.
 
au neno KUJIKUBALI nimeweka mahala sio??..
Sahihi.
Umeliweka sehemu sio.
Nafikiri kila mtu angekua anaji feel handsome(kujikubali)angalau nusu ya huyu s
Huyu jamaa Anasema ni Handsome.
Na kujikubali kwake ameambatanisha na muonekano.
na pia huwa anajibu watu kuwa "ww utakuwa una sura ya Baba... ndio maana unasema ...."

Wakati. kujikubali ni mtu kujitambua, kuheshimu na kupokea nafsi yame jinsi ilivyo.
ikiwemo nguvu zake, udhaifu wake, hisia zake, na mapungufu yake bila kujihukumu vikali au kujilinganisha kupita kiasi na watu wengine.

Now you see the differences.
 
Lugha ya kiswahili utanisamehe,hata mfano wa huyu mtu sio sahii nimemchomekea for the content ku admire audacity yake..
 
haszu He’s confidently stupid and handsome that I can’t even hate him,I admire the confidence.

Anaweza kuingia humu akapost the gayish sh*t ever, nyie mkawa busy mnampika kwa kila neno la kukera yeye kimya hajibu like a boss..

Nafikiri kila mtu angekua anaji feel handsome(kujikubali)angalau nusu ya huyu self proclaimed handsome drama nyingi zisingekuepo humu.

social drama nyingi zinaletwa na insecurity disguised as EGO,Wivu,,Mashindano or the need for validation..

Kama watu wangejipenda na kujikubali kama haszu kusingekua na kuitana Uglies,kujilinganisha na wengine,to seek approval from strangers,au kuwashusha wengine to feel superior,..
Beautiful boy haszu njoo upokee maua yako mdogo wangu..!!

Kumbe tunaokuelewa tupo wengi japo wengine wanajificha..!! 😹

Haszu kwakweli mi mwenyewe nampenda anaishi maisha yake na anajua kukera 😹
 
haszu He’s confidently stupid and handsome that I can’t even hate him,I admire the confidence.

Anaweza kuingia humu akapost the gayish sh*t ever, nyie mkawa busy mnampika kwa kila neno la kukera yeye kimya hajibu like a boss..

Nafikiri kila mtu angekua anaji feel handsome(kujikubali)angalau nusu ya huyu self proclaimed handsome drama nyingi zisingekuepo humu.

social drama nyingi zinaletwa na insecurity disguised as EGO,Wivu,,Mashindano or the need for validation..

Kama watu wangejipenda na kujikubali kama haszu kusingekua na kuitana Uglies,kujilinganisha na wengine,to seek approval from strangers,au kuwashusha wengine to feel superior,..
Umekuja na ka-id Kako kengine kujisifia ujinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom