Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 774
- 1,704
ayatollah wa JF 🤴 👑 😄😄Mkuu, ukisema tu, "'yule' secretarybird", unakuwa umemkosea heshima mtu huyu. Siku nyingine sema, Ayatollah wa JF secretarybird, mkuu.
ayatollah wa JF 🤴 👑 😄😄Mkuu, ukisema tu, "'yule' secretarybird", unakuwa umemkosea heshima mtu huyu. Siku nyingine sema, Ayatollah wa JF secretarybird, mkuu.
Well said. Ukisema tu hivyo hata amani ya moyo wako inaongezeka tu.ayatollah wa JF 🤴 👑 😄😄
Gunner kwenye I'd nyingineHuyo mbona ni mgeni kajiunga Sunday tu wala sjaona madini yake au ndio Id yako nyingine.
Nimerizika na ninavyoishiKula chuma hiyo odds 85 tia elfu 2000sh upate pesa ya kula ubwabwa na mandondo na ndizi mbivu. GENIUS NI GENIUS TU
SPORTBET
6EQ80V
😹😹umetumia kigezo kipi kutufananisha
Kwanza umepotea kila sehemu
🥳🥳🥳ila siku izi umeacha kabisa kutubless selfika dah!😹
Inauma ujue!
Hivi bado hujazoea kufanya lile jambo letu kwenye mwanga? 😅Inauma?
Chomoa sasa 🥺
Vinyau nyau, muandiko na umbea 😆😆😹😹umetumia kigezo kipi kutufananisha
Si umeona kaenda kubadili karudi kujibu mapigoo😆😆😆
Wewe subiri ukija uzi wa kuwataja wajinga wa JF.Mimi je THE GREAT GENIUS OF ALL TIME.😁
😆😆😆😆😆Huko kote umepuyanga sipo hata kwa mmoja..!! 😹
Si umeona kaenda kubadili karudi kujibu mapigoo😆😆😆