Who Deserves To be a JF Celebrity?

Who Deserves To be a JF Celebrity?

Karibu mkuu nami natazamia kwa hamu michango yako thabiti hata zaidi.
c.vijana ambaoa naweza sema wanajitambua na maybe kama wako kwenye ndoa ndo kwanza ni changa(samahanini kama assumptions zangu ziko wrong mtaniwia radhi ila hivyo ndivyo ninavhohisi kuwahusu)
@mrrocky grafani11 horsepower
blue g asante sana kwa kuniweka katika list yako
hujakosea na assumption zako kwa kweli ni kijana na niko kwenye ndoa changa hata miaka mitano sijafikisha ya ndoa yangu
asante sana kwa kutambua mchango wangu hapa na naamini nitaendelea kufanya kile ambacho kitakuwa msaada kwa wengine


 
Hakuna anayejiona kustahili ila kuonwa anastahili we hujioni ila mi nimekuona so shaka ondoa,asante kwa sifa nzuri uliyonipatia.
^^
blue g
shukrani sana,,japo sisitahili hata kutajwa mahali popote ktk u celebrity..maana u celebrity wa jf ni sawa na aendae kisimani mbele ndiye hunywa maji maenge.
Napenda upole wako blue g
^^
 
Habari Great thinkers

Katika siku za hivi karibuni nimekuwa nikifikiria sana huku nikiwaza na kuwazua kuwa ipi inaweza kuwa nafasi ya mtu atakae kuwa recognised as a JF Celebrity(super star) kwenye jamii. Nikagundua kuwa atakuwa mtu mwenye faida kubwa sana kwenye jamii, Kwa upande wangu nimefikiria kuwa anaweza kuwa mtu wa kutegemewa na pengine hata kuwa country celebrity kuliko hata wakina diamond, Riziwani, Rita Poulsen na wengineo.

Nimewaza hivi kutokana na fikra kuwa JF Celebrity lazima atakuwa ni mtu mwenye Muximum Thinking Capacity, Sio mtu wa cheap answers, yaani jibu lolote litakalotoka kwake ni suprise, The best problem solver, Atakuwa akiprovide wounderfull solutions, Unique Brain & Good IQ.

Dear Great thinkers is this Impossible?

Hivi hampati picha Jf Celebrity akiwa anafanyiwa Interview regarding havy matters of the country, au akwa mgeni mualikwa kwenye famouse TV shows, Au akawa ni moja kati ya wasemaji kwenye midahalo na makongamano makubwa ya nchi hii. As a represantative from the home of Great thinkers, Hivi serikali itashindwa kumteua awe moja ya wanakamati kati ya kamati au maelfu ya tume huru zinazoundwa kila kukicha!!?

Nadhani ni wakati wa JF kufikiria kupiga hatua nyingine katika kuisaidia jamii kwa kufikiria jinsi ya kuifanya idea hii iwe hai ni matumaini yangu kuwa hii itakuwa ni moja ya hatua muhimu ya ku integrate great thinkers sociate with Our Country by the aim of making sure that Our thinking ability is productive and real helpful.

Ok hapo nilikuwa nafafanua tu nini namaanisha ninapo sema JF Celebrity.
Xo nikiwa kama mchangiaji wa kwanza mimi Celebrity wangu hapa JF ni Jamaa mmoja mwenye User name ya Watu8

View attachment 109288Kiukweli jamaa yupo social vibaya mno Mcheshi, Na mwenye upendo na kila mtu bila kujali jinsia wala rika, Hana dharau. Kwa kweli sijawa familia sana na post zake Kiasi cha kumpendekeza yeye lakini jumla ya like 111777 zinaonesha ni jinsi gani ambavyo post zake zimekuwa very sensful & Useful for other great thinkers.
Nadhani fikra zake pia juu ya mitandao ya kijamii ni mfano wa kuigwa tofauti na wanaume wengine, ambapo wengi wetu huwa tunawaza kuanzia chini ya kiuno kuelekea kichwani. wengi wao hawapo interested kabisa na kuchat na jinsia ya kiume au kubadilishana nayo mawazo, wao wanawaza jinsi ya kupata msichana tu wa kumlaghai wapewe nanilii basi. Jamaa yupotayari kushare na kila mmoja, wengine hata thread walizofungua wanaume wenzao hawaingii, lakini za wasichana fasta tu then akifungua hata kusoma hasomi anaanza kumwaga like mpaka page ya mwisho. watueight big up Bro then You Deserve To Represant our forum somewhere else.

WHO DESERVE TO BE JF CELEBRITY? MM mwanakijiji, Mamndenyi, Bujibuji, Fixed point, Preta or whom 1!!!!?
Una uhakika na takwimu zako?
 
Ghwe mwana ughwe ulina fiki na une utikulonda nfwwale i kabhundu?kulina fiki keta bhuno i kabhundu jhangu jhili nunu,fiki ukuagha isoni nfwale isiketi????????????
keta ufwele kabhundu jhene.... Kubhuka ku mechi????
 
kuna mtu anaitwa EMT huyu naona yupo majukwaa mengi!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa Maendeleo ya huku nje Ughaibuni ninayoyaona nitakuwa mkali zaidi ya Mheshimiwa Sugu. Nikiwa

mbunge muwakilishi wa JF bungeni wabunge wenzangu na Spika wa bunge atakoma ubishi labda iwepo Serikali nyingine

Madarakani inayopenda Maendeleo ya walala hoi lakini ikiwepo hii Serikali iliyo madarakani watakoma wao wenyewe hapo

bungeni Jamaa_Mbishi Nchi yetu mpaka leo Umeme wa mgao mjini Vijijini hakuna kabisa umeme,Maji safi hakuna, Madawa Hospitalini hakuna nchi inaongozwa kivipi?

Nadhani tunataka mtu kama wewe mzizi mkavu with a passion of changes. Hivi MEXES hasomi hii thread aanzishe huu mchakato, You know what we need, is the way how to deliver Great thinking of great thinkers to the sociaty.

Baaaaaat koleo za kufofolea meno bila ganzi wala spirit zitakuhusu sana. you need to be very strong
 
binafsi kura yangu inaenda kwa Nguruvi3 na mwanakijiji kupitia kwao nmejifunza mengi
 
Back
Top Bottom