Who Deserves To be a JF Celebrity?

Who Deserves To be a JF Celebrity?

Nnachompendea watu8 kwenye posts nyingi yeye huwa wa kwanza ku reply. Jamaa halog off inaonekana.
 
Mkuu Msamiati,

Nimependa na naunga mkono wazo lako, hata hivyo kwa mtazamo wangu ningependekeza na kushauri kuwe na Sub forum Celebrity, kabla ya kuwa na Overall JF Celeb.

Na ingekuwa vizuri kama kungekuwa na mapendekezo kutoka kwa participants wa forum husika.

Mfano(To mention afew);

MMU watu8, Mtambuzi, charminglady, gfsonwin, King'asti, Nivea, Madame B

JF Habari na Hoja mchanganyiko: Baba V watu8, Jackbauer, Mwita Maranya, moto2012

J' Siasa: MzeeMwanakijiji, The secretary, The Boss, Revolution, OLESAIDIMU,

JF Doctor: Riwa, meningitis, ZeMarcopolo, Nyalotsi, MziziMkavu

JF photo: Bujibuji, Boflo, englibertm, nngu007


JF Great thinkers: AshaDii, Rutashubanyuma, EMT, ndetichia Mourinho, JingalaFalsafa

JF Tech, Gadget, Science: chief-mkwawa, NingaR, @C6,
 
Last edited by a moderator:
Kama ni kura yangu Mtani umeipata, vipi mkeo akisoma haka ka comment kako kutakuwa na amani?

Hahahah mtani wangu wa Bombambili...hapo shemejiyo wala hana wasiwasi maana ndiye katibu muhtasi wangu...summary ya kila kikao yeye anayo...
 
alitoka labda kama kapigwa tena ....

Yes alitoka ile ndefu ila baada ya second coming kuna siku niliona tena mpendwa wetu FF yupo kifungoni...sasa sijajua alitibua wapi na atarejea lini our FF
 
Mkuu Msamiati,

Nimependa na naunga mkono wazo lako, hata hivyo kwa mtazamo wangu ningependekeza na kushauri kuwe na Sub forum Celebrity, kabla ya kuwa na Overall JF Celeb.

Na ingekuwa vizuri kama kungekuwa na mapendekezo kutoka kwa participants wa forum husika.

Mfano(To mention afew);

MMU watu8, Mtambuzi, charminglady, gfsonwin, King'asti, Nivea, Madame B

JF Habari na Hoja mchanganyiko: Baba V watu8, Jackbauer, Mwita Maranya, moto2012

J' Siasa: MzeeMwanakijiji, The secretary, The Boss, Revolution, OLESAIDIMU,

JF Doctor: Riwa, meningitis, ZeMarcopolo, Nyalotsi ENT MziziMkavu

JF photo: Bujibuji, Boflo, englibertm, nngu007


JF Great thinkers: AshaDii, Rutashubanyuma, EMT, ndetichia Mourinho, JingalaFalsafa

JF Tech, Gadget, Science: chief-mkwawa, NingaR, @ C6.

Nashukuru mkuu Msamiati kwa kuona ka mchango kangu humu ila kwa kundi hilo umeniweka na mabondia wa kulipwa
nami ni feather kwa kweli hataWBF watanionea huruma!!!
 
Last edited by a moderator:
Mhm uwezikuwa celebrity kwa mtazamo mmoja hata waanii kuwa celebrity kwahitaji nafasi na lazima ijulikane celebrity wanini!kunawatu wanafani nyingi na wanabamba sana!Mfano tuanzie mjukwa ya utambulisho hadi la wakubwa!Kuna celebrity... Mamndenyi asante kwa nominoo yako!
 
Last edited by a moderator:
Sawa, wewe tulia tutakufanyia kampeni sie wana JF ili uende Bongo kutuwakilisha bungeni.
Kwa Maendeleo ya huku nje Ughaibuni ninayoyaona nitakuwa mkali zaidi ya Mheshimiwa Sugu. Nikiwa

mbunge muwakilishi wa JF bungeni wabunge wenzangu na Spika wa bunge atakoma ubishi labda iwepo Serikali nyingine

Madarakani inayopenda Maendeleo ya walala hoi lakini ikiwepo hii Serikali iliyo madarakani watakoma wao wenyewe hapo

bungeni Jamaa_Mbishi Nchi yetu mpaka leo Umeme wa mgao mjini Vijijini hakuna kabisa umeme,Maji safi hakuna, Madawa Hospitalini hakuna nchi inaongozwa kivipi?
 
Back
Top Bottom