Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Futa mwenyewe
Nitumie password yako niitendee haki hiyo post fasta!!!
Futa mwenyewe
ghwe ndinasyo,keta silipo isingi tolo,linga umalile pa kwiandaa tuandeghe i safari,mbibhimbibhi ghwe.
niiiiiipo!Join Date : 2nd August 2012
Location : nyumbani
Posts : 9,000
Rep Power : 33439
Likes Received9148
Likes Given8515
Nimekumiss sana teja langu.
niiiiiipo!
kuna tajiri la kipemba tu limenifungia mahali!
(ish wewe hebu wacha kuniodolea macredit)ujue niko mutu mukubwa sana humu
huna habari shost? tena kaa nae mbali maana sist wangu ni noumer kwa karate
Danger! Dont try this at your home, kama peopleseight unapakwa machupa kwa mafuta ya mgongo unabaniwa ridhiki hivi hivi.... Dah! maskini , Hebu proove husinyo asije akakutoa kwenye Q
shem watu 8 naomba unieleweshe hapa
C umeona kachuna nilisema mimi, mi naona milango ipowazi hapo
- Nina majina maalum kama Kaizer, KakaKiiza, Pdidy heshima kwenu sana.
- Nina majina mengi mno yakutaja hapa; upande wa wanaume looooh na wengi ni mabest zangu
chama............- Wale wa chama cha zamani wapo @Zubedayo_Mchuzi na Bujibuji,
- Ukija wadada/akinamama loooh. Ni wengi hasa walionipora wanaume; kama Kongosho, Madame B Lady doctor, AmKATRINA,
- Heshima kwenu sana kwa michango yenu Heaven on Earth, miss strong, AshaDii, snowhite, ladyfurahia,
- Wengi nawaheshimu sana kama The secretary
- Wale wakamwana wangu kama mimisa, shansarie,
- Wakwe zangu kama Nicas Mtei
- Mlezi wa binti yangu Arushaone (acha ubahili)
- Mtoto wa kuzaa mwenyewe kiwatengu
- Mfadhili wangu mkuu Bishanga
- Rafiki yangu Mtambuzi, MziziMkavu, asakuta same
- Walionipa talaka sipendi kuwataja kwa kuwa nitapata hasira.
Kwenye orodha yangu hapo juu ningependa sana
kuona likitoka jina moja la JF Celebrity
hhhhhaaaa!! usinambie unammezea mate shem wangu. shem wangu z not available!! ooohoo.