Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,342
- 10,686
Laa Hulaah Mimi sio bint jamani :A S cry::A S cry:
hhhhhhhhhha! kwaheri.
Laa Hulaah Mimi sio bint jamani :A S cry::A S cry:
ha ina maana haujui kwa kunipata!!!!!!!
Jamani na mi naomba nitoe maoni yangu kuhusu watu ambao nahisi wangeweza kuwa macelebrity humu jf,hapa mimi ntawakategorize,
a.Akina mama wa kutegemeka wenye hekima tele tele,wa kwanza kutoa ushauri ambao unafaa na pia kukemea mambo yasiyofaa katika jamii jamani ni hawa hapa
gfsonwin Kaunga and AshaDii Mamdenyi(sijui kama kweli ni akina mama au ni wadada tu ambao mambo yao wameyaweka kihivyo)ila mimi binafsi nakoshwa sana na hawa watu kwenye sekta ya umama celebrity in jf.
b.Akina baba ambao tunaweza kuwaita baba,wanaoweza kutoa ushauri wa maana
theboss(japo ye ni dyanamic sa zingine mbaba sa zingine yanki huyu nimwite baba kijana)@Snowball HorsePower Mtambuzi
(sijui wao pia kama ni wababa tayari au la)ila nakoshwa sana na comments zao zinaniambia wao ni watu wa aina gani na pia naweza sema wanaweza kufaa kuwa macelebrity in jf.
c.vijana ambaoa naweza sema wanajitambua na maybe kama wako kwenye ndoa ndo kwanza ni changa(samahanini kama assumptions zangu ziko wrong mtaniwia radhi ila hivyo ndivyo ninavhohisi kuwahusu)
@MrRocky grafani11 HorsePower
d.wadada mabinti charming,ambao they call aspade a spade hakuna unafiki wala chenga
@lara1 Munkari Heaven on earth
e.kwa upande wangu angefaa kuwa celebrity wa vituko na majibu ya short cut Kongosho
f.celebrity wa misemo ya kiswahili Himidini(hope sote tunakumbuka jinsi alivyotunga shairi humu ndani)
g.celebrity wa maadili mema kuhusu muumba(i dont mean wengine wote humu jf hawana maadili mema kumhusu muumba la,ila hawa wenzetu wamekuwa kama vile mstari wa mbele kujitahidi kulikumbuka hilo hata katika comments zao Tetra(afu sijui alishaendaga wapi huyu jamani) @@ladyfurahia MUYOOL Tamatheo
h.Celebrity wa malavidavi au tuwaite sukari ya warembo @mzabmzab(jamani kijana huyu yuko wapi nimemmiss mie)@mwekundu Kashinga maanake hawa thread zao na comments zao mmmhhhhh!!!!!!!!!
i.celebrity wa saikolojia Mtambuzi nina hakika wote tumeshuhudia jinsi ambavyo amekuwa akitoa nakala mbalimbali za kisaikolojia na jinsi zilivyo na msaada katika maisha yetu ya kila siku Kaunga pia kwa comments zake nyingi i can guess she has a high saikolojia.
i.photos celebrity saudari jamaa anatisha na sijui kajichimbia wapi.
Jamani samahanini kwa mkitabu ila ndo hivyo mie hawa nahisi kwa category mbalimbali wanaweza kuchukua ucelebrity wa humu jf.wapo wengi sana ila kuwa mention wote itachukua muda mwingi na sehemu pia.
shem watu 8 naomba unieleweshe hapa
lol...bi mkubwa yaani watu8 wote wauchune!!C umeona kachuna nilisema mimi, mi naona milango ipowazi hapo
hhhhhaaaa!! usinambie unammezea mate shem wangu. shem wangu z not available!! ooohoo.
Hahahah...lol kweli uselebriti kazi...kwanza acha kumbania then tutafunguka we hutaki tupate chance ya kuuza nyago akiwa celeb humu jf
Beth watu8 is a married man...ukiona binti yoyote mwenye jina la "lady" humu ndani basi jua ni kizaigoti cha mke wangushem watu8 hebu waambie hawa mabinti ww ni kifaa cha sist wangu na waache kukutega. lol.
Watu eight u are the best!
kumbe ulikuwa hujui eenh...nina ndugu mwenzako humu ndani!!!
watu8 unastahili
kitu Lara 1, kinanikosha ile mbaya,
kongosho, madame B, pia wasikosekane..
Mmmh hapa ni wengi ila kwa sasa watu8.. 🙂
Hehehe...sijui hata...nifahamishe tafwazali
ukiwa huelewi somo unafanyaje?
Copy paste au sio
namim nampendekeza huyo huyo watu 8
haya ngoja nisubiri huu mchakato uishe
hhhhhhhhhha! kwaheri.
umerudi mjini we mtu...usisahau kupita rujewa nina kipeto cha mchele...!!!
bado ndugu, ntapitia shaka ondoa! Ukae tu kituoni!