SIR MGAX
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 1,733
- 2,931
Ifike hatua kuwe na elimu juu ya Afya ya Akili haswa mashuleni,kizazi cha great thinker’s kinaenda mlama.
Mbaga Jr imagine jitu linaingia jukwaani kutoka huko Mavanga linakuja kwenye jukwaa halafu linaandika headline YUPO WAPI NCHIMBI?.
Haya sasa kama yupo kwake mnatakaje?,na je nyie wenzetu wenye mapenzi na viongozi mmesha jua makazi ya kila kiongozi mnayemuulizia.
Kwanza hii inakuwaje mtu unapata muda wa kujaza storage ya JF kwa kuuliza maswali ya kipumbavu.
Je,unapokuja jukwaani kumuulizia huyo mtu,nini lengo au dhumuni.
Hivi mtu anapokuwa nje ya uongozi kitaifa,mnazani ataendelea kuteseka kwa ajili ya wananchi….inakuwaje ikiwa anafamilia,kwahiyo aache kuitumikia familia yake aje kuwatumikia nyie?
Ok kwa haraka haraka niseme hivi.
Hii nchi inaenda kuwa na kizazi cha kijinga na taharuki zisizo na sababu,wenye hakili mko wapi sasa?