Who Deserves To be a JF Celebrity?

Who Deserves To be a JF Celebrity?

mleta mada anaweza kuwa yuko sahihi... Halafu watu8 hii ni post ya pili kukutaja kwa wiki hili kwa hiyo sio mbaya ukiingia kwenye kinyang'anyiro hahahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
HorsePower namkubali sanaaaa. Sijui kama yuko majukwaa mengi coz hata mie nina majukwaa ambayo huwa siyapitii sana. But kwa kule MMU to be honest ushauri wake huwa unanigusa sana. I guess ana MABUSARA sanaaa
 
Asante kwa kunikumbuka. Ukweli ni kuwa mimi ni mtembeleaje wa majukwaa yote na hasa la siasa, Jokes, JF photos ila ni mchangiaji zaidi wa MMU.
 
Asante kwa kunikumbuka. Ukweli ni kuwa mimi ni mtembeleaje wa majukwaa yote na hasa la siasa, Jokes, JF photos ila ni mchangiaji zaidi wa MMU.

uko vizuri brother kama una apply katika real life your wife is very blessed. Halafu nilimsahau upande wa Ke mwalimu gfsonwing namkubali pia
 
Last edited by a moderator:
mleta mada anaweza kuwa yuko sahihi... Halafu watu8 hii ni post ya pili kukutaja kwa wiki hili kwa hiyo sio mbaya ukiingia kwenye kinyang'anyiro hahahaaaaa

Hahahah...rafiki yangu wewe huwa wanikosha sana we hujui tu...nakupenda bure!!!
 
I see, labda uwe wewe.

Eti awe anaitwa kwenye TV show kudiskass mambo ya nchi, tv show za nchi gani?
Unadhani wachangiaji wote hapa wako Lyabukande? Wengine wako Trinidad and Tobago.

Anyway!

ha hhaaaaa Lyabukande, LLyamidati, Lyabusalu! umetisha!
 
asante best.. Hii mpenzi wangu asiione asije kupata wivu bureee

hahaha...kwani kwenye list ya marafiki zako ina maana hujamkabidhi jina langu best lol...unataka tindikali inihuuu eenh
 
Welldone watu8 hakika wee ni Mahabuba wa jamhuri...Ubarikiwe and Good Luck.
 
Back
Top Bottom