Who Deserves To be a JF Celebrity?

Who Deserves To be a JF Celebrity?

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700
Habari Great thinkers

Katika siku za hivi karibuni nimekuwa nikifikiria sana huku nikiwaza na kuwazua kuwa ipi inaweza kuwa nafasi ya mtu atakae kuwa recognised as a JF Celebrity(super star) kwenye jamii. Nikagundua kuwa atakuwa mtu mwenye faida kubwa sana kwenye jamii, Kwa upande wangu nimefikiria kuwa anaweza kuwa mtu wa kutegemewa na pengine hata kuwa country celebrity kuliko hata wakina diamond, Riziwani, Rita Poulsen na wengineo.

Nimewaza hivi kutokana na fikra kuwa JF Celebrity lazima atakuwa ni mtu mwenye Muximum Thinking Capacity, Sio mtu wa cheap answers, yaani jibu lolote litakalotoka kwake ni suprise, The best problem solver, Atakuwa akiprovide wounderfull solutions, Unique Brain & Good IQ.

Dear Great thinkers is this Impossible?

Hivi hampati picha Jf Celebrity akiwa anafanyiwa Interview regarding havy matters of the country, au akwa mgeni mualikwa kwenye famouse TV shows, Au akawa ni moja kati ya wasemaji kwenye midahalo na makongamano makubwa ya nchi hii. As a represantative from the home of Great thinkers, Hivi serikali itashindwa kumteua awe moja ya wanakamati kati ya kamati au maelfu ya tume huru zinazoundwa kila kukicha!!?

Nadhani ni wakati wa JF kufikiria kupiga hatua nyingine katika kuisaidia jamii kwa kufikiria jinsi ya kuifanya idea hii iwe hai ni matumaini yangu kuwa hii itakuwa ni moja ya hatua muhimu ya ku integrate great thinkers sociate with Our Country by the aim of making sure that Our thinking ability is productive and real helpful.

Ok hapo nilikuwa nafafanua tu nini namaanisha ninapo sema JF Celebrity.
Xo nikiwa kama mchangiaji wa kwanza mimi Celebrity wangu hapa JF ni Jamaa mmoja mwenye User name ya Watu8

profilepic21744_1.gif.jpgKiukweli jamaa yupo social vibaya mno Mcheshi, Na mwenye upendo na kila mtu bila kujali jinsia wala rika, Hana dharau. Kwa kweli sijawa familia sana na post zake Kiasi cha kumpendekeza yeye lakini jumla ya like 11255 zinaonesha ni jinsi gani ambavyo post zake zimekuwa very sensful & Useful for other great thinkers.
Nadhani fikra zake pia juu ya mitandao ya kijamii ni mfano wa kuigwa tofauti na wanaume wengine, ambapo wengi wetu huwa tunawaza kuanzia chini ya kiuno kuelekea kichwani. wengi wao hawapo interested kabisa na kuchat na jinsia ya kiume au kubadilishana nayo mawazo, wao wanawaza jinsi ya kupata msichana tu wa kumlaghai wapewe nanilii basi. Jamaa yupotayari kushare na kila mmoja, wengine hata thread walizofungua wanaume wenzao hawaingii, lakini za wasichana fasta tu then akifungua hata kusoma hasomi anaanza kumwaga like mpaka page ya mwisho. watueight big up Bro then You Deserve To Represant our forum somewhere else.

WHO DESERVE TO BE JF CELEBRITY? MM mwanakijiji, Mamndenyi, Bujibuji, Fixed point, Preta or whom 1!!!!?
 
Hahahah mkuu shukrani sana...ila binafsi sidhani kama nastahili tuzo hiyo uliyonitunuku...

Mimi si mchangiaji sana wa majukwaa mengi hapa ndani zaidi nipo sana hapa JF Social Lounge...

Nadhani tuzo kama hiyo yamstahiki mtu mwenye kuwepo karibu majukwaa yote kwa kiasi fulani...

Once again, thanks buddy!!!
 
Hahahah mkuu shukrani sana...ila binafsi sidhani kama nastahili tuzo hiyo uliyonitunuku...

Mimi si mchangiaji sana wa majukwaa mengi hapa ndani zaidi nipo sana hapa JF Social Lounge...

Nadhani tuzo kama hiyo yamstahiki mtu mwenye kuwepo karibu majukwaa yote kwa kiasi fulani...

Once again, thanks buddy!!!

mkuu ilibidi uchune tu..tukujibie sisi
 
Hahahah mkuu shukrani sana...ila binafsi sidhani kama nastahili tuzo hiyo uliyonitunuku...

Mimi si mchangiaji sana wa majukwaa mengi hapa ndani zaidi nipo sana hapa JF Social Lounge...

Nadhani tuzo kama hiyo yamstahiki mtu mwenye kuwepo karibu majukwaa yote kwa kiasi fulani...

Once again, thanks buddy!!!

Acha kujishusha......sisi ndo tunaona!!!!
 
Nakubaliana na watu8 tuzo ya mtu kama huyo inabidi iwe ya mtu ambaye anapita majukwa yote na sio mchangiaji wa jukwaa moja awe JF Celebrity
may be hiyo kama itatolewa iwe kwa kila jukwa kuwa na celebrity wake kwa mfano MMU au Chit Chat au Photo au Siasa au Jokes ila kigezo cha wingi wa post sidhani kama kinatosheleza (mawazo yangu tuu)
 
Last edited by a moderator:
Hahaha...hivi unajua kuwa nina kuadimaya sana we mtu?

I see, labda uwe wewe.

Eti awe anaitwa kwenye TV show kudiskass mambo ya nchi, tv show za nchi gani?
Unadhani wachangiaji wote hapa wako Lyabukande? Wengine wako Trinidad and Tobago.

Anyway!
 
Back
Top Bottom