Who Deserves To be a JF Celebrity?

Who Deserves To be a JF Celebrity?

Ingawa me huwa msomaji wa comment za watu lakini ninao wengi tu wanaonikosha hata sijui nimchague nani nikianza na watu8, The boss, Mzizi mkavu,Lara 1, Himidini, Smile kwa kweli wako wengi
 
Nadhani tunataka mtu kama wewe mzizi mkavu with a passion of changes. Hivi MEXES hasomi hii thread aanzishe huu mchakato, You know what we need, is the way how to deliver Great thinking of great thinkers to the sociaty.

Baaaaaat koleo za kufofolea meno bila ganzi wala spirit zitakuhusu sana. you need to be very strong
Mkuu@Msamiati tunataka Viongozi wenye Msimamo wa kuongoza nchi yetu haswa wenye kuwaonea huruma walala hoi Masikini,Wakulima na

wafanyakazi. Sio Kiongozi ana neemesha Familia yake hatutaki Kiongozi anayependa mambo ya Udini au Ufisadi sisi sote Wa-Tanzania ni ndugu Kila

M-Tanzania akiwa ni Mkristo amuheshimu Muislam na akiwa ni Muislam amuheshimu Mkristo Dini yake na imani yake na Tofauti kiimani

ziwe mbali kabisa na

mambo ya Siasa tuwe kitu kimoja hapo ndipo Maendeleo ya nchi yatakapo kuwa asante kwa ushauri wako.
 
Nakubaliana na watu8 tuzo ya mtu kama huyo inabidi iwe ya mtu ambaye anapita majukwa yote na sio mchangiaji wa jukwaa moja awe JF Celebrity
may be hiyo kama itatolewa iwe kwa kila jukwa kuwa na celebrity wake kwa mfano MMU au Chit Chat au Photo au Siasa au Jokes ila kigezo cha wingi wa post sidhani kama kinatosheleza (mawazo yangu tuu)
Likeeee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom