UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 17,503
- 8,798
Inajulikana kwamba Samia suluhu ni makamu wa rais,hivyo huwezi kuniambia ni Waziri nikakubali.Nikikuambia Samia Suluhu ni Waziri Mkuu, utasema nahitaji imani kusema ndiyo ama hapana?
Inajulikana kwamba Samia suluhu ni makamu wa rais,hivyo huwezi kuniambia ni Waziri nikakubali.Nikikuambia Samia Suluhu ni Waziri Mkuu, utasema nahitaji imani kusema ndiyo ama hapana?
Ndiyo nakwambia maisha hayana Uhuru.Kuna mahali nimesema maisha hayapo huru?
Maisha yako wewe mlipa kodi ni sawa na maisha ya magufuli?Maaskofu na wachungaji wanaburuza mikoko ya maana, halafu mfia dini anapanda bajaji maisha yake yote.....Huo ni wizi uliotokana na utumwa wa kifikra.
Halafu kibaya ndiyo mkishagundua hilo mnaangukia kusema hakuna mungu,yani ni vitu viwili tofauti kabisa.Hahahaa....unaona sasa, kumbe kuna maneno mengi kwenye Bible ambayo ni invalid na uhalisia.Kutambua hilo inakupasa uwe free thinker, lakini kama unaogopa kufuru basi kila kitu kitakuwa validi kwako.
..kwaio unaniSupport mimi au una solutions from the above observations???Na hilo ndiyo tatizo linalofanya wakristo ndiyo kuwa wengi katika wapinga mungu.
Kiasi kikubwa cha imani si kipimo cha usahihi wa imani. Wakristo ndiyo wanaweza kuwa watu wenye imani sana kuliko imani zengine lakini tatizo wamekosa mambo yenye kuipa nguvu imani yao,imekuwa imani ambayo inapepea haina pa kushika kutia uzito.
Ndiyo maana ukristo na biblia yake huandamwa sana,na hata ukiangalia hoja za kumpinga mungu humu ni kutokana na mafundisho ya ukristo yalivyo.
Solution ni kuutafuta ukweli ambao wenye kuendana na uhalisia,sio kuishia kuamini kwamba hakuna mungu...kwaio unaniSupport mimi au una solutions from the above observations???
..Hence point madeSolution ni kuutafuta ukweli ambao wenye kuendana na uhalisia,sio kuishia kuamini kwamba hakuna mungu.
Kwa hiyo ujuwe,mahali popote hapakosi matapeli,kuwepo matapeli katika dini,sio sababu ya watu kutokuwa na dini.Hata katika Taasisi mbali mbali za wapo matapeli,hatuwezi kuzikimbia taasisi za uma kwa vile kuna matapeli,na ndio hivyo hovyo,huuwezi kukumbia dini kwa kuogopa matapeli.Tutakuw makinni na hawa matapeli.Maaskofu na wachungaji wanaburuza mikoko ya maana, halafu mfia dini anapanda bajaji maisha yake yote.....Huo ni wizi uliotokana na utumwa wa kifikra.
Hasara ya dini siyo utapeli tu, bali Dini inampromote Mungu asiyekuwepo.Kwa hiyo ujuwe,mahali popote hapakosi matapeli,kuwepo matapeli katika dini,sio sababu ya watu kutokuwa na dini.Hata katika Taasisi mbali mbali za wapo matapeli,hatuwezi kuzikimbia taasisi za uma kwa vile kuna matapeli,na ndio hivyo hovyo,huuwezi kukumbia dini kwa kuogopa matapeli.Tutakuw makinni na hawa matapeli.
I HAVE PROOF KAMA YUPO NNA PROOF KAMA 3000 HIVI KWAMBA GOD EXIST ILA NTAANZA TARATIBU TARATIBU USIJALI..wewe unaesema Yupo,do u have prove kuwa Yupo thats the main theme of the thread maana hayo mengne Yanabaki kuwa mchezo wa pata potea eti kwasababu siJui niamini tuu,no way!!!
Mungu yupo,dunia na vilivyomo,vimeubwa na Mungu,hakuna Muumbaji mwingine ila Mungu.Hasara ya dini siyo utapeli tu, bali Dini inampromote Mungu asiyekuwepo.
..Any Time mkuu,i Have all the time in the world!!I HAVE PROOF KAMA YUPO NNA PROOF KAMA 3000 HIVI KWAMBA GOD EXIST ILA NTAANZA TARATIBU TARATIBU USIJALI
njema sanna nakuandalia mkuu nikuthibitishie ila uelewe lengo si kubishana bali lengo ni kueleweshana mkuu mimi sipo hapa kwa ajili ya kubishana na kama unahitaji kubishana mimi siwezi..Any Time mkuu,i Have all the time in the world!!
Dini sio utumwa ! Dini ni muomgozo wa kirohoUtumwa wa dini ni mbaya sana.Watu wanatumia maisha yao yote kutumikia hallucinations za watu wa kale.Kutumikia hallucinations zisizokuwa na logic ni utumwa mzito kupita maelezo.
na kama unakataa kama wewe si mtumwa kwake usile wala kunywaDini sio utumwa ! Dini ni muomgozo wa kiroho
Kama hujui roho ni nini basi uliza!
Hats ukisema dini ni utumwa saw a ; kwa vile utumwa ni utumishi kwa yule anayekumiliki.
Wewe hapo aliykutengeneza ndiye anayekumiliki! Unakataa hujatengenezwa?
Umetengenezwa na ni mtumwa wa huyo aliykutengeneza. Unamtumikia , umependa au la alikutengeneza; umependa au la atakubadilishiya mfumo wako was kuwepo(total change of your existence form)
Anakutuma:-
1) lazima ule
2)lazimza unye(utumwa)
3)lazima ulale(utumwa)
4) lazima ufe
5)lazima utawaliwe- utumwa
Nk
PUMBA TUPU.Dini sio utumwa ! Dini ni muomgozo wa kiroho
Kama hujui roho ni nini basi uliza!
Hats ukisema dini ni utumwa saw a ; kwa vile utumwa ni utumishi kwa yule anayekumiliki.
Wewe hapo aliykutengeneza ndiye anayekumiliki! Unakataa hujatengenezwa?
Umetengenezwa na ni mtumwa wa huyo aliykutengeneza. Unamtumikia , umependa au la alikutengeneza; umependa au la atakubadilishiya mfumo wako was kuwepo(total change of your existence form)
Anakutuma:-
1) lazima ule
2)lazimza unye(utumwa)
3)lazima ulale(utumwa)
4) lazima ufe
5)lazima utawaliwe- utumwa
Nk
Ham be cool ;what is pumba ?PUMBA TUPU.
Unaweza kuthibitisha Roho ipo na kuitest?
Mimi nilizaliwa kwa wazazi wangu hakuna mtu aliyenitengeneza.
Hizo ulizotaja ni sifa za viumbe hai siyo viashiria vya utumwa.
Mbona dini ikiguswa mnatokwa povu sana?.....ndio maslahi yenu eh?
Inatakiwa umkubali uwepo wake kwanza ili uweze kumuona.Uwepo wa Mungu wenu ni sawa na uwepo wa pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika Euclidean geometry.
Pembetatu hiyo haipo kiuhalisia, ni ya kufikirika tu.
Kwa sababu Mungu wenu ana contradiction kama pembetatu ambayo hapohapo ni duara katika Euclidean geometry:-
Mungu wenu hayupo kiuhalisia, ni wa kufikirika tu.
Umeelewa hilo?