Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Wasioamini uwepo wa Mungu,ukiwabana kwa hoja,wanabasiliaha maswali.Na kumkwepa anayebana kwa njia ambazo mbanaji anawabana mpaka hawana pa kutokea.
Hao wazazi wako nao walitengezwa na wazazi wao,huyo mzazi wa kwanza a kite eaten gene za hao wazazi wa wazazi wako,alitengenewa na nani?PUMBA TUPU.
Unaweza kuthibitisha Roho ipo na kuitest?
Mimi nilizaliwa kwa wazazi wangu hakuna mtu aliyenitengeneza.
Hizo ulizotaja ni sifa za viumbe hai siyo viashiria vya utumwa.
Mbona dini ikiguswa mnatokwa povu sana?.....ndio maslahi yenu eh?
Sijui! lakini haimaanishi kuwa ni Mungu unless ushahidi mzito upatikane.Hao wazazi wako nao walitengezwa na wazazi wao,huyo mzazi wa kwanza a kite eaten gene za hao wazazi wa wazazi wako,alitengenewa na nani?
Loud n clearInatakiwa umkubali uwepo wake kwanza ili uweze kumuona.
Je aliyefumba macho ataezaje kuona mwanga mwangavu?
Hii ni sawa na kumwambia kipofu kuwa mwanga wa jua ni mweupe kama theluji hata hawezi kuelewa na utamwacha na maswali mengi sababu huyo kipofu haoni ili kufahamu uwepo wa huo mwanga na sifa zake inatakiwa kwanza afumbuke yani apate kuona.
Wewe unafanana na kipofu anayetaka kuona mwanga, huezi kumuona Mungu hapo umefumba macho yako ndio mana unacontradiction nyingi zinazomuhusu Mungu, siku ukifungua macho yako utapata kuona ukuu wa Mungu.
Kufungua macho ni kutenda mema na haki, kusali/kuswali na kuacha kufanya maovu kuonesha upendo kwa wengine kama unavyojipenda mwenyewe.
Uwe chachu ya amani kwa wengine na duniani kwa ujumla na hapo ukifanya hayo siku utarudi humu na kutuambia kweli umeweza kumuona Mungu.
KWANI NI NANI AWEZAYE KUONA AKIWA KWENYE KIZA KINENE?
HAUTAWASHA TAA IANGAZE ILI UPATE KUONA?
AU NI NANI HUYO AWEZAYE KUONA AKIWA AMEFUMBA MACHO?
HAUTAFUNGUA MACHO YAKO KWANZA NA UPATE KUONA?
Hata Mungu naye anataka binadamu awe kwenye mwanga mwangavu ili apate kumuona.
Na sisi tupe ushahidi muzito wa Baba na mama wako walivyokutengeza ,Mali ghafi zake and so. So !lakini wewe unaweza kuwa ni padre au imamu halafu unatusumbua!Sijui! lakini haimaanishi kuwa ni Mungu unless ushahidi mzito upatikane.
If complexity must be designed, and the designer must be more complex, then the designer must also be designed.Yes;
By the design and purpose base.
You can prove the existence of The designer (GOD)
EXAMPLES
1) THE TWO GENDER WE HAVE IS NOT AN ACCIDENT. IN A WOMAN THE MOST SENSITIVE PART IN TERMS OF SEXUAL MATTERS (THE CLIT) IS NOT ON IT'S POSITION AS AN ACCIDENT. IT WAS A DESIGNED POSITION FOR THE PURPOSE OF MAXIMUM STIMULATIONS BY THE PARTNER
2)WHEN IN YR MOM WOMB U FEED BY A SYSTEM OF PIPE FROM MOM TO U .BUT JUST AFTER BIRTH YOU SWAP TO THE BREASTS. THAT IS NOT AN ACCIDENT. DESIGN AND PURPOSE (IS GOD) HOW HE STARTED IS BEYOND OUR 100 GRAMME WHITE PORRIDGE.
Weka wewe. Wewe si ndiye unayeuliza. Nitawekaje mimi "vipi" kwenye swali lako?Haya iweke hiyo "vipi" katika lile swali langu halafu tuone.
Imani si tatizo.Kuna hitaji imani kusema hakuna mungu bila ya hivyo watu wote tungekuwa hatuamini mungu. Unafikiri kungekuwa na ushahidi wa kuwa hakuna mungu kungekuwa na mtu ambaye angeendelea kuamini mungu?
Kwa hiyo unakubali kwamba Biblia si kitabu cha Mungu na Mungu kama alivyoandikwa katika Biblia hayupo?Umenielewa kwanza kuwa matatizo yaliyopo kwenye biblia haifanyi kuwa ndiyo hakuna mungu?
Kujua kwingi mbele kiza.Weka wewe. Wewe si ndiye unayeuliza. Nitawekaje mimi "vipi" kwenye swali lako?
Hebu liandike upya na ulipost tena lieleweke.
If the designer creates very complex things like these, then its logical to say that the designer is so much complex to be designed. That is, He is too much complex to be designed.If complexity must be designed, and the designer must be more complex, then the designer must also be designed.
By your logic, God must be designed, his designer must be designed and so on and so forth endlessly.
In this setup, there is no God.
Kiranga, what is important is not to prove the existence of God of Bible, but the existence of God of the Universe. God is not about religion, but a REALITY.Kwa hiyo unakubali kwamba Biblia si kitabu cha Mungu na Mungu kama alivyoandikwa katika Biblia hayupo?
We are going by elimination.Kiranga, what is important is not to prove the existence of God of Bible, but the existence of God of the Universe. God is not about religion, but a REALITY.
Kwani tatizo lipo wapi? Mie nimesema kuna hitaji imani kusema hakuna mungu,sasa kama wewe unaona imani yako ya kuamini hakuna mungu ni sahihi basi mi sina tatizo.Imani si tatizo.
Ukishapanga kwenda kazini ushapanga kwa imani.
Unaweza kufariki usiku kesho usiione.
Kwa hiyo imani haina tatizo. Kwa kweli huwezi kuishi bila imani. Utashindwa hata kuamka kitandani asubuhi.
Tatizo linakuja unapoamini vitu vyenye a clear contradiction.
Kama Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote ambaye aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea, halafu akaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea.
If at all it is possible for anything to appear without a designer, then the designer is not needed in the first place.If the designer creates very complex things like these, then its logical to say that the designer is so much complex to be designed. That is, He is too much complex to be designed.
Refer my thread topic that Who Creates God is an Illogical Question.
I basically don't know why Kiranga hutaki kukubali. You sacrifice your reasoning for no reason kabisa.
You can't tell that DNA is a product of chance. Huko ni kukataa kufikirisha ubongo wako.
Kiufupi Kiranga kutaki kufikiri nje ya box. Unang'ang'ana na logic zisizoeleweka unaacha logic za msingi.
Remember kuwa kwa vile swali la uwepo wa Mungu ni swali muhimu mno, then ili useme kuwa Mungu hayupo inakubidi uwe na uhakika wa 100% kwa sababu jibu la swali hilo ndilo linalo dictate namna gani uishi, na destiny yako ikoje.
Kwa upande wetu sisi hatuna msukumo wa Ku prove kuwa yupo, kwa sababu Imani inatutosha.
Kusema contradiction inaonesha uongo si imani. Ni fact.Kwani tatizo lipo wapi? Mie nimesema kuna hitaji imani kusema hakuna mungu,sasa kama wewe unaona imani yako ya kuamini hakuna mungu ni sahihi basi mi sina tatizo.
Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.Wenye imani ya kuamini hakuna mungu ukiwauliza maswali kama hawana majibu wanasema kwamba kutokuwa na majibu haifanyi kuwa mungu yupo,ila wao wanataka imani zengine ziwe na kila jibu la swali watakalojisikia kuuliza.
Kukubali kuwa hakuna mungu ni imani,kwani hapa tusichoelewana ni kipi?Kusema contradiction inaonesha uongo si imani. Ni fact.
Ndiyo umeeleza nini hapo?Hujathibitisha kwamba Mungu yupo.
Swali lolote nitakaloshindwa kujibu halithibitishi Mungu yupo.
Ili uthibitishe kwamba Mungu yupo, inabidi ufanye zaidi ya kuniuliza swali ambalo nashindwa kulijibu.
Kwa sababu inawezekana Mungu akawa hayupo na mimi nisiwe na jibu la swali lako.
Njia pekee ya kuonesha Mungu yupo ni kwa mtu anayesema hivyo kuthibitisha kwamba Mungu yupo.
Hakuna aliyethibitisha.