Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,851
- 145,736
Quran si neno la Mungu kwa sababu ina clear contradictions lukuki.umeelewa qur an inavyochambuliwa niendelee kukuthibitishia kua qur an ni neno la mungu?
Au nazo utasema nisizisome kama gazeti?
Quran si neno la Mungu kwa sababu ina clear contradictions lukuki.umeelewa qur an inavyochambuliwa niendelee kukuthibitishia kua qur an ni neno la mungu?
Sasa mimi leo ninesema Mungu hayupo.ndio zilete mkuu ili tuekane sawa kama hiyo ya kwanza ulioileta si umeshaelewa au hukuelewa kua mihuri wanagongewa waliotaka wenyewe kugongewa mihuri na kufunikwa macho yao
Mkuu we ni Hb wa Ilala ama kuna mtu ame synonym Id?..after deep pondering nimeanza kuona Hili its Just a phenomenonView attachment 422343View attachment 422344View attachment 422345
Unachoshindwa kunielewa ni pale unapoanza kutaja imani unazoona si sahihi wakati mie nimekuuliza kipi kinajulisha ipi ni imani sahihi na ambayo si sahihi.Wapi nimeandika hilo?
Nikuulize wewe.
Unajua kuhesabu?
Unajua Kiswahili?
Umeelewa nilichoandika?
Ndiyo huyohuyo,kwani mie nikisema wapinga mungu wengi humu mmetoka kwenye imani ya ukristo unafikiri nimekurupuka!Mkuu we ni Hb wa Ilala ama kuna mtu ame synonym Id?
We ulitaka watoke wapi?Ndiyo huyohuyo,kwani mie nikisema wapinga mungu wengi humu mmetoka kwenye imani ya ukristo unafikiri nimekurupuka!
Nimekuuliza swali hapo juu naona umeliruka ama kwa ukosefu wa umakini katika kusoma, ama kwa kulisoma vizuri na kulielewa na kutaka kutolijibu.Unachoshindwa kunielewa ni pale unapoanza kutaja imani unazoona si sahihi wakati mie nimekuuliza kipi kinajulisha ipi ni imani sahihi na ambayo si sahihi.
Kama kweli kuna hoja za msingi za kumfanya mtu aache kuamini uwepo wa mungu kwanini iwe imani ya kikristo ndiyo wengi wanakubali hizo hoja na imani zengine vp? Ingetakiwa imani zote wazione hizo hoja na si imani moja tu ndiyo iwe inatoa wapinga mungu wengi.We ulitaka watoke wapi?
Kwa hiyo ma Atheist wote walikuwa wakristo?Kama kweli kuna hoja za msingi za kumfanya mtu aache kuamini uwepo wa mungu kwanini iwe imani ya kikristo ndiyo wengi wanakubali hizo hoja na imani zengine vp? Ingetakiwa imani zote wazione hizo hoja na si imani moja tu ndiyo iwe inatoa wapinga mungu wengi.
Halafu mkitoka hapo mnasema mmefanya uchunguzi na ndiyo ukafikia kugundua kuwa hakuna mungu,ugunduzi huo unafanywa na wakristo tu pekee?.
Hakuna niliposema "kipi" ni kimoja au hata kumaanisha hivyo.Nimekuuliza swali hapo juu naona umeliruka ama kwa ukosefu wa umakini katika kusoma, ama kwa kulisoma vizuri na kulielewa na kutaka kutolijibu.
Naomba uniambie kati ya mawili hayo lililo sahihi ni lipi.
Nimekuuliza, kwa nini unafikiri ni "kipi" kimoja?
Sio wote ila wengi sana mlikuwa wakristo,hivi unafikiri sababu ni nini?Kwa hiyo ma Atheist wote walikuwa wakristo?
..kwasababu christians wanakua Good Judges wa watu wengine alaf Pia biblia ambayo ndo msingi wa Imani Yao ina contradictions za kutosha na issue Ya kupinga dini haipo kwenye ukiristo tu it stretches through all religionsMkuu hivi kwanini wapinga mungu wengi wanatokea kwenye imani ya ukristo?
Nimeuliza sana hili swali ila sijibiwi,labda wewe unaweza ukawa na jibu.
Ulifanya utafiti juu ya madai yako?Sio wote ila wengi sana mlikuwa wakristo,hivi unafikiri sababu ni nini?
..thats the problem,the answers are found through FAITH AND TRUST sio kwa willingness anaetaka kuyafahamu hata asipoaminiLife's a struggle,In contrast with other creatures, We are given free will and higher reasoning power so as we can find answers. Through faith and trust answers will uncover themselves.
Mungu ni muweza wa yote. GOD is infinity and ultimate in power and everything.
..death is Life maana we are part of the universe na tunategemeana so one must die so that other lifeforms should exist since "energy haiwezi kuwa created au kuwa destroyed but rather transformed into other states" mfano ukiwa utaoza kutoa nutrients to the soil ambazo mimea itafyonza kutengeneza chakula ambacho yupo mtu atakula and so and so kwaio huwezi kuzuia death maana w/o it hakuna LifeMungu yupo na hutuezi kumuelewa kwa akili na nguvu za kibinadamu za kawaida.
Hivi mnaopinga uwepo wa Mungu mnafikiri kwanini binadamu hawezi kuzuia kifo?
Unavyosafiri kwa mfano kwanini hujui kama utafika salama salimini hii inathibitisha kuwa kuna ziada ya akili za kibinadamu.
Binadamu akili zake zimeishia sehemu Fulani sasa Mungu anaanzia hapo.
MTUMIKIE MUNGU NA UMPENDE KWA AKILI ZAKO NA NGUVU ZAKO ZOTE USITENDE DHAMBI DAIMA UTAEZA KUMSHUHUDIA KATIKA MAISHA YAKO.
WENGI TUNASHINDWA KUMSHUHUDIA MUNGU, KUMJUA SABABU TUMEZAMA KATIKA MAOVU.
MUNGU NI MTAKATIFU HAPATIKANI KATIKA GIZA BALI YU HAI KWENYE MWANGA SISI TUMEZAMA KWENYE GIZA NDIO MANA HATUMUONI.
..wewe unaesema Yupo,do u have prove kuwa Yupo thats the main theme of the thread maana hayo mengne Yanabaki kuwa mchezo wa pata potea eti kwasababu siJui niamini tuu,no way!!!Hii mada ni nzito sana na asithubutu mtu kujibu suali ambalo hana elimu nalo, tena narudia kusema hii madda ni nzito anahitajika mwanazuoni aliebobea katika kueleza suala la mungu na uungu wake, guys be carefull!
Na wewe unaesema kua mungu hayupo sidhani kama unahaki ya kusema kua mungu hayupo kwa kwasababu na wewe huna ushahidi kama mungu hayupo, isipokua unaweza kusema kua huna uthibitisho wa kua mungu yupo au hayupo kwasababu nakusihi ikiwa unasema hayupo kisha huko mbele ukaja ukapata maarifa ya kumtambua mungu hudhani kua huku nyuma utakua umemkosea sanna mungu kwa kusema hakuna mungu huyo?
Yes;Can you prove God exists at all?
..sasa wewe unaefahamu kuran c ungekuja na huo uthibitisho haraka haraka tuokoe muda maana hapa inabidi nianze tena tuition Ya alifu ndo niweze kusoma na kuelewaNapenda kuchukua fursa hii kujibu swali lako kama ifuatavyo
mimi nnaimani wewe ambae unasema kua hakuna mungu utakua ni mchamungu mzuri sanna ikiwa utafahamishwa vizuri na kuelewa na mwishowe ukamuelewa mungu, wengi wetu tumezaliwa na imani kua mungu yupo na tumezaliwa tukaikutia dini na baadae tukasomeshwa dini ila hatukubahatika kuuliza maswali ya kuichallange dini kama ulivyopata wewe hii nafasi, binafsi mimi naogopa kusema kua hakuna mungu hata kama ninawasiwasi wa uwepo wa muungu kwasababu ya mila na tamaduni niliozaliwa nayo
Mimi kwa uelewa wangu mdogo wa kumtambua mungu naomba nikupe ushahidi wa kuwepo kwa mungu kama ifuatavyo,
Sisi waislamu tumepewa muongozo wa kitabu ambao ni qur an, sasa katika hiyo qur an nakuomba usome hata aya moja tu ya quran na upate tafsiri yake na mafundisho yake kisha uje unieleze maneno hayo ya qur an yanaweza kufanana na mwanaphilosophy yoyote unaemfahamu wewe? ukimaliza kusoma hiyo aya ilete hapa nikuelekeze na nikueleweshe kama hayo si maneno ya mwanaadamu kwasababu gani.
..nikupe uthibitisho kuwa sio kitabu cha Mungu??!umeelewa qur an inavyochambuliwa niendelee kukuthibitishia kua qur an ni neno la mungu?