'Who created God' is an Illogical Question!

Uligundua lini ya kwamba ulikuwa unatapeliwa fikra zako?.....Mimi tangu nikiwa na miaka minne nilishauspot huu utapeli.
..Nlijaribu kuuliza maswali kadhaa nikaishia kuambiwa niamini tu sasa faith is not enough,first i asked if God has freedom kama wanavyosema they said Yes then i gave an example"Mtu anakuletea pipi nyingi za rangi mbalimbali alafu anakwambia chagua Yoyote lakini usipochagua Ya rangi hii nakuua" reffering to all the trees in eden as they say it existed kuwa kula matunda Ya miti Yote ila sio ule wa katikati where is freedom in this????????!

2.If God really Loves our salvation kwann atuumbe with our bodies dedicated to worshipping satan???

3.Does Prayer have purpose,maana ukiomba alaf sio mapenzi Yake hayatatimia sasa why pray in the first place????!

4.God gives us commandments alad Yeye ndo anaongoza kuzivunja for instance KUUA sasa btn God and Satan in simple math nani kaua wengi unafikiri???

5.If Jesus died as a sacrifice for our sins,where is the sacrifice kama alifufuka sasa maana mimi naona sacrifice ni pale angebaki dead???
 
Hakuna niliposema "kipi" ni kimoja au hata kumaanisha hivyo.
Katika Kiswahili "kipi" ni kimoja. Zaidi ya kimoja ni "vipi". Hutakiwi kuandika "kipi" kama unamaanisha zaidi ya kimoja katika Kiswahili.

Kipi = Kimoja

Vipi = Vingi

Au hujui Kiswahili nianze kukufundisha Kiswahili kwanza kabla hatujaingia kwenye mengine?
 
..kwasababu christians wanakua God Judges wa watu wengine alaf Pia biblia ambayo ndo msingi wa Imani Yao ina contradictions za kutosha na issue Ya kupinga dini haipo kwenye ukiristo tu it stretches through all religions
Ni kweli unayosema, wengi wamebaki na imani ambazo hazina pa kushikia zinayumbayumba,na ndiyo wakristo wengine wameacha kwenda kanisani kabisa na wengine wameacha kabisa kuamini hizi dini na kubaki na imani ya mungu tu.
 
Mkuu kwako ipoje? hujafanya maamuzi magumu?
 
..Nlijaribu kuuliza maswali kadhaa nikaishia kuambiwa niamini tu sasa faith is not enough,first i asked if God has freedom kama wanavyosema they said Yes then i gave an example"Mtu anakuletea pipi nyingi za rangi mbalimbali alafu anakwambia chagua Yoyote lakini usipochagua Ya rangi hii nakuua" reffering to all the trees in eden as they say it existed kuwa kula matunda Ya miti Yote ila sio ule wa katikati where is freedom in this????????!

2.If God really Loves our salvation kwann atuumbe with our bodies dedicated to worshipping satan???

3.Does Prayer have purpose,maana ukiomba alaf sio mapenzi Yake hayatatimia sasa why pray in the first place????!

4.God gives us commandments alad Yeye ndo anaongoza kuzivunja for instance KUUA sasa btn God and Satan in simple math nani kaua wengi unafikiri???

5.If Jesus died as a sacrifice for our sins,where is the sacrifice kama alifufuka sasa maana mimi naona sacrifice ni pale angebaki dead???
Mkuu hayo mambo ni uongo mtupu ndio maana yamejaa vitisho na contradictions za kutosha.

Hongera sana kwa kujitoa humo maana siyo kazi rahisi, dini na dhana yake ni madawa ya kulevya kabisa.Kikubwa ni mtu kuwa ma morals za kuishi na watu vyema,.....maisha ni simple sana ukiwa huru.
 
..mkuu wewe unaamini nini???
 
..its the Bible that made me that way
Tatizo lenu hapo ni moja. Kama utakubaliana na Mimi ni kwamba matatizo yaliyopo kwenye biblia ni sawa ila kusema hakuna mungu kwa sababu ya matatizo ya biblia si sawa.
 
..wee unamini nini ambacho hakina contradictions??
 
..Nlijaribu kuuliza maswali kadhaa nikaishia kuambiwa niamini tu sasa faith is not enough,first i asked if God has freedom kama wanavyosema they said Yes then i gave an example"Mtu anakuletea pipi nyingi za rangi mbalimbali alafu anakwambia chagua Yoyote lakini usipochagua Ya rangi hii nakuua" reffering to all the trees in eden as they say it existed kuwa kula matunda Ya miti Yote ila sio ule wa katikati where is freedom in this????????!

2.If God really Loves our salvation kwann atuumbe with our bodies dedicated to worshipping satan???

3.Does Prayer have purpose,maana ukiomba alaf sio mapenzi Yake hayatatimia sasa why pray in the first place????!

4.God gives us commandments alad Yeye ndo anaongoza kuzivunja for instance KUUA sasa btn God and Satan in simple math nani kaua wengi unafikiri???

5.If Jesus died as a sacrifice for our sins,where is the sacrifice kama alifufuka sasa maana mimi naona sacrifice ni pale angebaki dead???
Mambo uliyoyaeleza ni matatizo yaliyopo kwenye ukristo na ndiyo maana ukristo unatoa wapinga mungu wengi.

Utafute ukweli,kuishia kusema hakuna mungu haitoshi.
 
Katika Kiswahili "kipi" ni kimoja. Zaidi ya kimoja ni "vipi". Hutakiwi kuandika "kipi" kama unamaanisha zaidi ya kimoja katika Kiswahili.

Kipi = Kimoja

Vipi = Vingi

Au hujui Kiswahili nianze kukufundisha Kiswahili kwanza kabla hatujaingia kwenye mengine?
Haya iweke hiyo "vipi" katika lile swali langu halafu tuone.
 
Mkuu kwako ipoje? hujafanya maamuzi magumu?
Kuna hitaji imani kusema hakuna mungu bila ya hivyo watu wote tungekuwa hatuamini mungu. Unafikiri kungekuwa na ushahidi wa kuwa hakuna mungu kungekuwa na mtu ambaye angeendelea kuamini mungu?
 
Mkuu hayo mambo ni uongo mtupu ndio maana yamejaa vitisho na contradictions za kutosha.

Hongera sana kwa kujitoa humo maana siyo kazi rahisi, dini na dhana yake ni madawa ya kulevya kabisa.Kikubwa ni mtu kuwa ma morals za kuishi na watu vyema,.....maisha ni simple sana ukiwa huru.
Maisha hayana uhuru,kutokufuata yaliyoelezwa kwenye dini haina maana maisha yako yapo huru.
 
Mh! Miaka mine!!!!???
Yeah, wakati huo naambiwa niwaombee wazazi wangu kwa Mungu nikauliza huyo Mungu anaishi wapi? hawakunijibu.

Nikawaambia nataka wanipeleke kwa huyo Mungu nikamuone, hawakunipeleka.Basi nikaanza kuelewa huyo Mungu niuongo, hadi leo huo uongo unajidhihirisha waziwazi kabisa.
 
Back
Top Bottom