'Who created God' is an Illogical Question!

Maisha hayana uhuru,kutokufuata yaliyoelezwa kwenye dini haina maana maisha yako yapo huru.
Utumwa wa dini ni mbaya sana.Watu wanatumia maisha yao yote kutumikia hallucinations za watu wa kale.Kutumikia hallucinations zisizokuwa na logic ni utumwa mzito kupita maelezo.
 
Toa ushahidi kama katika dini kuna utumwa.
Akili yako unavyoipeleka ndivyo utakavyoona.Mfano mwepesi,ukiona pombe ndio inayokutatulia matatizo,utakunywa sana,kumbe ndio wajiongezea matatizo.
Wewe usiyeamini uwepo wa Mungu,akili yako umeepeleka upande wa kufikiria dini ni utumwa,wakati hakuna utumwa ndani ya dini,ila walio nje ya dini ni dhana potofu iliyojengeka ndani ya akili zao.Ni sawa na mtu anayepita kwenyw jangwa au barabara ya lami wakati wa jua kali,akiona mbele yake mang'azing'azi,akifikiria kuna maji mbele yake.Akifika ile sehemu yenye mang'azimang'azi,hakuti maji,anayaona mbele yake tena.
 
Dini zinakula pesa za watu, muda wa waumini na kuwapa ahadi fake kama kuponywa magomjwa na kwenda Mbinguni.Huo si ndio utumwa wenyewe?

Nyie mliofungwa na hizo fikra za kitumwa hamuwezi kuuona huo utumwa maana mnafikiri kitumwa.
 
Umenielewa kwanza kuwa matatizo yaliyopo kwenye biblia haifanyi kuwa ndiyo hakuna mungu?
..sasa kama biblia tu haiJitoshelezi that makes it like any other mere ordinary books iliyoandikwa na watu Just like us kwa mawazo Yao,kwa Lugha nyingine ni mitazami tu Ya watu ndo maana haiJakamilika
 
Yeah, wakati huo naambiwa niwaombee wazazi wangu kwa Mungu nikauliza huyo Mungu anaishi wapi? hawakunijibu.

Nikawaambia nataka wanipeleke kwa huyo Mungu nikamuone, hawakunipeleka.Basi nikaanza kuelewa huyo Mungu niuongo, hadi leo huo uongo unajidhihirisha waziwazi kabisa.
Ndiyo maana nikakwambia kuna hitaji imani kusema hakuna,isingekuwa rahisi hivyo.
 
Dini zinakula pesa za watu, muda wa waumini na kuwapa ahadi fake kama kuponywa magomjwa na kwenda Mbinguni.Huo si ndio utumwa wenyewe?

Nyie mliofungwa na hizo fikra za kitumwa hamuwezi kuuona huo utumwa maana mnafikiri kitumwa.
Hao wanaokula pesa za watu ni matapeli kama matapeli wengine,wanajificha katika mgongo wa dini.Wapo watu pia katika Taasisi kadhaa za uma,wanakula pesa za watu,kwa kuwalazimisha kutoa rushwa.Kwa hiyo utasema kuweko hizo taasisi ni utumwa?Au kuna wanaotumia vibaya nafasi,walizoaminiwa nazo?
Mbona zipo sehemu nyingi za dini,hakuna utapeli huo?Ni sawa na kuwacha kumpeleka mwanao shule,kwa kisingizio cha shule kuna watoto wasio na tabia nzuri,watamuharibu mwanao kwa tabia mbaya,za uvutaji bangi na uhuni na mimba za utotoni.
 
Utumwa wa dini ni mbaya sana.Watu wanatumia maisha yao yote kutumikia hallucinations za watu wa kale.Kutumikia hallucinations zisizokuwa na logic ni utumwa mzito kupita maelezo.
Kama unakubali kuwa maisha hayana Uhuru na unatafsiri kutokuwa huru ni utumwa basi hakuna utumwa mzuri.

Utumwa ni utumwa.
 
Hao wanaokula pesa za watu ni matapeli kama matapeli wengine,wanajificha katika mgongo wa dini.Wapo watu pia katika Taasisi kadhaa za uma,wanakula pesa za watu,kwa kuwalazimisha kutoa rushwa.Kwa hiyo utasema kuweko hizo taasisi ni utumwa?Au kuna wanaotumia vibaya nafasi,walizoaminiwa nazo?
Mbona zipo sehemu nyingi za dini,hakuna utapeli huo?Ni sawa na kuwacha kumpeleka mwanao shule,kwa kisingizio cha shule kuna watoto wasio na tabia nzuri,watamuharibu mwanao kwa tabia mbaya,za uvutaji bangi na uhuni na mimba za utotoni.
Kama waumini wakienda ibadani kwa mwaka mzima bila kutoa hata shilingi moja, hizo ibada zitadumu kwa muda gani?
 
Toa ushahidi kama katika dini kuna utumwa.
Akili yako unavyoipeleka ndivyo utakavyoona.Mfano mwepesi,ukiona pombe ndio inayokutatulia matatizo,utakunywa sana,kumbe ndio wajiongezea matatizo.
Wewe usiyeamini uwepo wa Mungu,akili yako umeepeleka upande wa kufikiria dini ni utumwa,wakati hakuna utumwa ndani ya dini,ila walio nje ya dini ni dhana potofu iliyojengeka ndani ya akili zao.Ni sawa na mtu anayepita kwenyw jangwa au barabara ya lami wakati wa jua kali,akiona mbele yake mang'azing'azi,akifikiria kuna maji mbele yake.Akifika ile sehemu yenye mang'azimang'azi,hakuti maji,anayaona mbele yake tena.
..Mkuu maana utumwa inayoongelewa hapo ni kuwa controlled Juu Ya unachotakiwa kufanya as In hufanyi unachotaka kufanya bali unachotakiwa kufanya na kinachoaminika sahihi according to ur beleive and many people rely on dini kufanya mazuri simply its EMPATHY they lack
 
Kama waumini wakienda ibadani kwa mwaka mzima bila kutoa hata shilingi moja, hizo ibada zitadumu kwa muda gani?
Zinadamu,kumbuka vizuri,utapeli katika dini,umeanza miaka ya karibuni,baada ya kuzuka madhehebu mapya ya kidini.Miaka ya nyuma,ya 80 kurudi nyuma,ilikuwa hakuna madhehabu haya mapya tunayoyaona sasa.
 
..Mkuu maana utumwa inayoongelewa hapo ni kuwa controlled Juu Ya unachotakiwa kufanya as In hufanyi unachotaka kufanya bali unachotakiwa kufanya na kinachoaminika sahihi according to ur beleive and many people rely on dini kufanya mazuri simply its EMPATHY they lack
Utumwa ni kulazimishwa kuingia mahali bila uamuzi wako.Ikiwa mtu kaingia katika dini fulani bila kulazimishwa,utasemaje ni mtumwa.
 
Zinadamu,kumbuka vizuri,utapeli katika dini,umeanza miaka ya karibuni,baada ya kuzuka madhehebu mapya ya kidini.Miaka ya nyuma,ya 80 kurudi nyuma,ilikuwa hakuna madhehabu haya mapya tunayoyaona sasa.
Maaskofu na wachungaji wanaburuza mikoko ya maana, halafu mfia dini anapanda bajaji maisha yake yote.....Huo ni wizi uliotokana na utumwa wa kifikra.
 
Utumwa ni kulazimishwa kuingia mahali bila uamuzi wako.Ikiwa mtu kaingia katika dini fulani bila kulazimishwa,utasemaje ni mtumwa.
..mkuu hukuelewa kumbee,utumwa unaongelewa hapo ni kuamini kitu ambacho hakipo issue dini uliyopo doesn't matter
 
Maaskofu na wachungaji wanaburuza mikoko ya maana, halafu mfia dini anapanda bajaji maisha yake yote.....Huo ni wizi uliotokana na utumwa wa kifikra.
..wakati Yesu alimwambia Yule kijana mwenye mali akauze mali zake zote amfuate inshort wanaenda contrary na wanachokiamini kabisa
 
😀😀😀😀😀....Dah aisee nimecheka sana hadi nimewakwaza wengine.Eti kauze mali zako zote halufu unifuate😀😀😀😀😀😀Hivi mchungaji akimwambia mtu namna hii kwa sasa, si atapigwa mawe hadi afe?
 
..hakitasalia hata kipande kimoJa cha mwili wake hahaha!!!
 
..sasa kama biblia tu haiJitoshelezi that makes it like any other mere ordinary books iliyoandikwa na watu Just like us kwa mawazo Yao,kwa Lugha nyingine ni mitazami tu Ya watu ndo maana haiJakamilika
Na hilo ndiyo tatizo linalofanya wakristo ndiyo kuwa wengi katika wapinga mungu.

Kiasi kikubwa cha imani si kipimo cha usahihi wa imani. Wakristo ndiyo wanaweza kuwa watu wenye imani sana kuliko imani zengine lakini tatizo wamekosa mambo yenye kuipa nguvu imani yao,imekuwa imani ambayo inapepea haina pa kushika kutia uzito.

Ndiyo maana ukristo na biblia yake huandamwa sana,na hata ukiangalia hoja za kumpinga mungu humu ni kutokana na mafundisho ya ukristo yalivyo.
 
..hakitasalia hata kipande kimoJa cha mwili wake hahaha!!!
Hahahaa....unaona sasa, kumbe kuna maneno mengi kwenye Bible ambayo ni invalid na uhalisia.Kutambua hilo inakupasa uwe free thinker, lakini kama unaogopa kufuru basi kila kitu kitakuwa validi kwako.
 
Back
Top Bottom