'Who created God' is an Illogical Question!

'Who created God' is an Illogical Question!

Kabla ya kuja kuzungumzia hayo ya upendo,tumekubaliana kuwa hii dunia kuwa hii ilivyo haifanyi kuwa mungu si mkamilifu?
Hivi Mungu mnaemzungumzia ndio yule wa. Aliyeumba nchi na mbingu siku ya kwanza then akampuzika kuamkua siku ya pili akaona alichokifanya day 1 ni kinapendeza...au wa upande upi??? Manake siwezi kusema binadamu wa miguu miwili au baadae nakuja kusema binadamu wa miguu mi4... alafu bado anabaki kuwa binadamu.... what is this???
 
Chief umejuaje ukamilifu haupo ilhali hata tafsiri ya ukamilifu wenyewe umeshindwa kuitoa?
Kama haujui ukamilifu ni nini na unapimwaje then huwezi kujua kama upo au haupo wala kujua kama kuna mkanganyiko kuhusu ukamilifu au la. Kifupi ni kuwa huwezi kuongelea kitu ambacho hukijui.

Mtu mwenye fikra ataona kuwa umejichanganya tu hamna ulichosema hata kimoja hapo.

Umetumia kipimo gani kujua Dunia ni kamilifu au la? Unapoongelea uwepo wa majanga unatumia kipimo gani kujua kuwa Dunia kamilifu haikupaswa kuwa na majanga? Kama umeshindwa kutafsiri neno ukamilifu unadhani nini kinakupa kiburi kudhani unaweza kusema kama dunia ni kamilifu au la?

Kiufupi ni kuwa Mungu ndiyo mkamilifu na ametuambia ukamilifu ukoje. Mfano tunajua Dunia sio kamilifu kwa sababu ametuambia Dunia Kamilifu aliyoiumba ilikuwaje na nini kilitokea mpaka tuko tulivyo. In short ukikataa kuwa huamini Biblia hutaweza kujibu swali lolote kati ya hayo zaidi ya kurukaruka tu na word plays.

Alamsiki!
Umetetea hoja yako vizuri mno... Ila sasa hapo kwenye dunia yenye majanga kuna utata..

Bado watakuja na swali lao la kila siku... Kwanini majanga yawepo wakati ingewezekana kabisa yasiwepo ilihali yanaharibu Maisha ya viumbe wapendwa wa Mungu...
 
Hapo ndo palipo na msingi wa udhaifu wa Mungu.Kwa nini asingeumba dunia tulivu?

Ina maana God, the Intelligent designer, he is not existing.
 
Hapo ndo palipo na msingi wa udhaifu wa Mungu.Kwa nini asingeumba dunia tulivu?

Ina maana God, the Intelligent designer, he is not existing.
Kwa mfano akikupa jibu kwa kutumia kitabu kitakatifu utalikubali?
 
Hivi Mungu mnaemzungumzia ndio yule wa. Aliyeumba nchi na mbingu siku ya kwanza then akampuzika kuamkua siku ya pili akaona alichokifanya day 1 ni kinapendeza...au wa upande upi??? Manake siwezi kusema binadamu wa miguu miwili au baadae nakuja kusema binadamu wa miguu mi4... alafu bado anabaki kuwa binadamu.... what is this???
Ndi huyo huyo, kama amekatiza hapo mtaani kwenu mwambie aje kujibu hoja zetu.
 
Kwa mfano akikupa jibu kwa kutumia kitabu kitakatifu utalikubali?
Kitabu hakina logic, yale ni mawazo ya watu.Ndio maana Mungu wa kwenye vitabu anazo sifa zote za kibinadamu, pia kitabu kina mikanganyiko kibo.

Atumie logic kuniambia kwa nini Mungu aumbe dunia yenye kukumbwa na majanga asilia?

Hayo majanga asilia yana faida gani?
 
Umetetea hoja yako vizuri mno
Shukrani kwa complement!

... Ila sasa hapo kwenye dunia yenye majanga kuna utata..Bado watakuja na swali lao la kila siku... Kwanini majanga yawepo wakati ingewezekana kabisa yasiwepo ilihali yanaharibu Maisha ya viumbe wapendwa wa Mungu...
Hilo ni swali ambalo anapaswa kuuliza mtu ambaye tayari ana sababu kwa nini Majanga ni jambo baya. Tatizo ni kuwa kama hauamini uwepo wa Mungu wa Biblia, unakosa base ya morality. Kusema majanga ni jambo baya ina maana unajua zuri lilipaswa kuwaje. Na ili ujue zuri na baya lazima kuwe na transcendent law ambayo inatufundisha kipi kibaya a kipi kizuri . Kila sheria ina Law giver. Sasa kwa atheist wanataka ku prove kuwa hakuna Transcendent Law Giver na hivyo hakuna Transendent Law. Kama hakuna transcendent law, kama wanavyodai basi hakuna kitu ambacho ni kibaya absolutely tunabakia na opinions ambazo hakuna bora kuliko nyingine.

Sasa kwa wakana Mungu hakuna kibaya wala kizuri na hakuna kikamilifu wala kisicho kikamilifu. Kwa hiyo swali kwamba kuna majanga haliwahusu kwa kuwa kama wakiishi falsafa yao ni kuwa kuwa na majanga au kutokuwa na majanga hakuna tofauti (Kwa sababu hakuna jema wala baya kwao).

Kosa wanalofanya hawa wandugu ni kuuliza Moral Questions(concerning Good and Evil) while katika falsafa yao hakuna zuri wala baya. Ili waulize maswali hayo inawabidi waazime Christian Moral Framework ili waweze ku argue on morality.

Think about it. They have to borrow Christian God's Morality so that they can Prove He does not Exist. No Wonder He said "a fool have said in his heart, there is no God"
 
Hapo ndo palipo na msingi wa udhaifu wa Mungu.Kwa nini asingeumba dunia tulivu?

Ina maana God, the Intelligent designer, he is not existing.
Naona umeamua ku drop neno kamilifu umeamua kutumia tulivu kukwepa same moral implications. Hahahaaaa!
 
Kitabu hakina logic, yale ni mawazo ya watu.Ndio maana Mungu wa kwenye vitabu anazo sifa zote za kibinadamu, pia kitabu kina mikanganyiko kibo.
Ukichanganyikiwa hesabu haina maana hesabu zina mikanganyiko. Ni wewe tu hujui hesabu!
By the way kwa nini mikanganyiko na kukosa logic ni kitu kibaya?

Atumie logic kuniambia kwa nini Mungu aumbe dunia yenye kukumbwa na majanga asilia?
Kwa nini unataka nitumie logic? Kwa nini nisijibu tu vyovyote? Ulishawahi kuona Simba anaomba jibu "logical" toka kwa mwanasimba? Au Kondoo kuomba jibu logical kwa mbuzi? Kwa nini utake jibu logical at all?

Hayo majanga asilia yana faida gani?
Kwani kuwepo au kutokuwepo kwa majanga kuna tofauti gani? Kwa nini udhani kuwa majanga ni kitu kibaya? Unatumia kipimo gani kujua majanga hayakupaswa kuwemo katika dunia kamilifu (ingawa this time umeliacha makusudi neno kamilifu kuepuka maswali usiyo na majibu)?
 
Una ushahidi gani Mungu ndiye aliyetuumba?

Unaushahidi gani kuwa Mungu yupo?
Kwani kila unachoamini kuwa ni kweli huwa umekithibitisha kwa ushahidi?
Sihitaji kuthibitisha uwepo wa Mungu kwa kuwa Mungu yupo!
 
Shukrani kwa complement!

Hilo ni swali ambalo anapaswa kuuliza mtu ambaye tayari ana sababu kwa nini Majanga ni jambo baya. Tatizo ni kuwa kama hauamini uwepo wa Mungu wa Biblia, unakosa base ya morality. Kusema majanga ni jambo baya ina maana unajua zuri lilipaswa kuwaje. Na ili ujue zuri na baya lazima kuwe na transcendent law ambayo inatufundisha kipi kibaya a kipi kizuri . Kila sheria ina Law giver. Sasa kwa atheist wanataka ku prove kuwa hakuna Transcendent Law Giver na hivyo hakuna Transendent Law. Kama hakuna transcendent law, kama wanavyodai basi hakuna kitu ambacho ni kibaya absolutely tunabakia na opinions ambazo hakuna bora kuliko nyingine.

Sasa kwa wakana Mungu hakuna kibaya wala kizuri na hakuna kikamilifu wala kisicho kikamilifu. Kwa hiyo swali kwamba kuna majanga haliwahusu kwa kuwa kama wakiishi falsafa yao ni kuwa kuwa na majanga au kutokuwa na majanga hakuna tofauti (Kwa sababu hakuna jema wala baya kwao).

Kosa wanalofanya hawa wandugu ni kuuliza Moral Questions(concerning Good and Evil) while katika falsafa yao hakuna zuri wala baya. Ili waulize maswali hayo inawabidi waazime Christian Moral Framework ili waweze ku argue on morality.

Think about it. They have to borrow Christian God's Morality so that they can Prove He does not Exist. No Wonder He said "a fool have said in his heart, there is no God"
Ngoja Kiranga aje atoe majibu hapa.... Tokea nimeanza kuangalia post zake sijawahi kuona akipigwa KO...
 
Usihame mada! kubali kwanza kuwa tajiri wa namna ile hana upendo.

Je Mungu yupo?
Kuna ushahidi wa uwepo wake?
We ndiye unayehama mada, unaniuliza habari za upendo wakati hoja yetu ni ukamilifu.
 
Hujatoa uthibitisho,umetoa maelezo yasiyojitosheleza.Toa uthibitisho sio maelezo.Ili tujuwe huu ni ubaya.
Ubaya ni kuumba kiumbe asiye na akili kama wewe.

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote angekuwepo asingeumba kiumne asiye na akili kama wewe ambaye anajinadi kuijua "immanent critique" ni ni i halafu akiletewa "immanent critique" anauliza hii ni nini.

Mungu huyo angekuwepo asingekuwa mkatili hivyo.

The fact kwamba wewe upo is enough of an evil to disprove that God exists.
 
Kiranga huna uthbitisho wa ubaya,unajigonga.Unapoambiwa utoe uthibitisho,utoe uthibitisho,usio utoe maelezo.
Wewe umeikana Quran, halafu bado unasema unaamuamini Allah?

Umemkataa Mungu wako kwa sababu ya mabishanonya JF.

Bora mimi ninayesema siamini Mungu yupo, kuliko wewe unayesema Muislamu halafu ukiulizwa kama unaiamini Quran unaikana kwa sababu ya mabishano ya JF.

Wewe si Muislamu. Wewe ni mnafiki.
 
Ni aina gani ya ubaya ulikuwa unautaka akutajie ... Nadhani kiranga alikuwa akimaanisha mambo kama vimbunga vinavyoua watu, matetemeko,Ugonjwa n.k
Huyo mfia dini anayeikataa dini yake hajui kama anaenda au anarudi.

Anavhofanya ni kubisha tu.

Kitabu chake mwenyewe cha dini cha Quran anachokiamini kinakubali dunia ina ubaya, halafu yeye anajifanya hajui kwamba dunia ina ubaya.

How absurd.
 
mfano. mwajiri wako kakupa gari mpya kabisa v8 landcruser,wewe ukaisababishia ajali na kupasuka vioo na hata rangi kutoka. Kisha uanze kuuliza maswali, kwa nini ulinipa v8 yenye vioo vilivypsk . kwa sababu huyo mfanyakazi unamuelewaje.

genesis1 God saw everthing he created was good. and handed it over to man and his wufe in its goodness. Pamoja na kukubali kwa hiyari yao kuvunja kanuni waliyopewa matokeo ni somo la milrle. lskin kwa kuwa boss anaupendo anakubali kulipia gharama ya matengenezo ili uwe na gari nzuri. this is what we cakl plan of redemtion
Mfanonunafananisha visivyofanana.

Mwajiri hana uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote.

Mungubana uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote.

Mfano wako ungekuwa sawa kama ungeongelea muajiri wako, ambaye kaumba ulimwengu wote, mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akupe hilo gari halafu upate ajali.

Tungeuliza imekuwaje muajiri huyo aumbe ulimwengu ambao ajali inawezekana kuwepo wakati ambapo alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ajali ahiwezekani kufanyika?

Which is essentially the question I have asked about God.

This question is unanswered.
 
Back
Top Bottom