Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,497
- 9,519
Kazi ni kipimo cha utu.
Kwa NchimbiKazi ni kipimo cha utu.
Au sioKwa Nchimbi
Aje atwambie Polepole yuko wapi.
Atajia wapi,ndio anachomoa batri hivyoAje atwambie Polepole yuko wapi.
Yupo.Kazi ni kipimo cha utu.
Tunaomba wimbo wa TaifaYupo.
Unamhitaji?
Ingia YouTube, utaupata.Tunaomba wimbo wa Taifa
Unamtafuta wa nn si uende kwake ukamuoneKazi ni kipimo cha utu.
Ameanza kupigiwa wimbo wa Taifa YouTube?Ingia YouTube, utaupata.
Betri linachomokaga kirahisi hivyo?Atajia wapi,ndio anachomoa batri hivyo
Hivi aliwahi kustaafu na kupumzika kumbe?Mwacheni Rais mstaafu apumuzike